Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Haki Elimu Nchini, John Kalaghe akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Haki Elimu Nchini, John Kalaghe akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuondoa Vikwazo kwa Mtoto wa Kike katika hafla iliyofanyika katika ofsi za Tasisi hiyo Upanga jijini Dar es Salaam Juni 20 2017, Kampeni hiyo itasaidia kuongeza uelewa kwa jamii kumpa fursa msichana hili aweze kupata mafanikio na kufikia maelengo yake

Msemaji kutoka TGNP, Grace Kisetu akichangia jambo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ondoa Vikwazo asome iliyofnyika katika ukumbi wa Haki Elimu Upanga Jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Waandishi waliohudhuria kampeni ya ondoa Vikwazo asome iliyozinduliwa na Tasisi ya Haki elmu kwa kushilikiakana na mashirika mbalimbali ya za kijamii

COMMENTS