Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo Kutoka kwa, Afisa Utawala wa TPC aliye shika kofia Bwana Jafari Ally kuhu...
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo Kutoka kwa, Afisa
Utawala wa TPC aliye shika kofia Bwana Jafari Ally kuhusiana
na Shughuli zinazo endelea katika kiwanda cha Kutengeneza Sukari
cha TPC. Kulia kwake ni Meneja
wa kiwanda Pascal Petiot,Waziri Mkuu alitembelea
Kiwanda hicho hivi karibuni. (PICHA NA PMO)
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa
Kiwanda cha Sukari (TPC), Pascal Petiot kuhusiana na Mitambo
Mipya ya Kompyuta ambazo zimefungwa ili kuongeza Ufanisi Katika
Kiwanda cha TPC Kilichopo Mkoani Kilimanjaro, Waziri Mkuu alitembelea
Kiwanda hicho hivi karibuni
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia Mitambo mipya inayo fungwa katika Kiwanda cha kutengeneza Sukari cha TPC, Kilichopo Mkoani Kilimanjaro, Waziri Mkuu alitembelea Kiwanda hicho hivi karibuni . Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na kiongozi wa Chama cha Wafanyakzi wa kiwanda cha Sukari TPC (TASIWU) Bwana Bilali Omari ,waliopo katikati aliyeva Tisheti ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPC, Robert Baissac na Meneja wa Kiwanda hicho, Pascal Petiot, Waziri Mkuu alitembelea Kiwanda hicho hivi karibuni
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipata maelezo Kutuko kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Sukari cha (TPC), Robert Baissac, kuhusu mbegu za kisasa za Miwa zinazo zalishwa kitika Shamba Darasa la Kiwanda cha Sukari cha TPC Kilichopo Mkoani Kilimanjaro Waziri Mkuu alitembelea Kiwanda hicho hivi karibuni.

COMMENTS