Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Mbunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya Mhe. Alojz Peterle (kulia) ugeni wa Wabunge wa Bunge ...
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Mbunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya Mhe. Alojz Peterle (kulia) ugeni wa Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya ulipomtembelea katika Ukumbi wa Spika May 10 2017, Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza jambo na ugeni wa Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya ulipomtembelea katika Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza jambo pale alipopata ugeni wa Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya, katika Kikao kilichofanyika May 10 katika Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa nne kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya wakiongozwa na Mhe. David Martin (wa nne kushoto) baada ya kumalizika kikao kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu wa Spika, Said Yakubu.
Wageni wa Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai ambao ni Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya wakifuatilia vikao vya Bunge vinavyoendelea Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
COMMENTS