MAMA JANETH MAGUFULI ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTOA MISAADA KWA WAGONJWA DAR ES SALAAM LEO
HomeJamii

MAMA JANETH MAGUFULI ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTOA MISAADA KWA WAGONJWA DAR ES SALAAM LEO

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akilakiwa na Dkt. Julius Mwaisalage Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijin...

WCF YAWAELIMISHA MAAFISA WAAJIRI KUHUSU MISINGI YA KULINDA USALAMA NA AFYA ZA WAFANYAKAZI MAHALA PA KAZI
RAIS MAGUFULI, WAZIRI WA ULINZI WA ISRAEL WAFANYA MAZUNGUMZO IKULU
WAZIRI MKUU AMWAKLISHA RAIS DK. MAGUFULI KENYE MKUTANO WA AU NCHINI RWANDA

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akilakiwa na Dkt. Julius Mwaisalage Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam  alikoenda kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na mganga mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Grace Magembe wakati alipowasili kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Diwani wa Kata ya Kivukoni Mhe. Henry Sato Massaba  wakati alipowasili kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.

  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na  Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo alipowasili kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.

 Sehemu ya wageni na wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road wakifuatilia hotuba zikitolewa wakati wa hafla hiyo.

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na meza kuu wakimsikiliza Dkt. Julius Mwaisalage Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema akimkaribisha Mama Janeth Magufuli kuongea.

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema akimkaribisha Mama Janeth Magufuli kuongea.

 Sehemu ya wageni na wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road wakishangilia hotuba zikitolewa wakati wa hafla hiyo.

 Sehemu ya wageni na wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road wakishangilia hotuba zikitolewa wakati wa hafla hiyo.

  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akikaribishwa kuongea na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema wakati wa  kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiongea machache wakati wa  kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.

  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimsikiliza Mkuu wa Wilaya Mhe Sophia Mjema akitoa maelezo mafupi ya zawadi ambazo kinamama wa Wilaya za Temeke na Ilala wametoa kumuunga mkono Mama magufuli  wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.

  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea toka kwa Mkuu wa Wilaya Mhe Sophia Mjema sehemu ya zawadi ambazo kinamama wa Wilaya za Temeke na Ilala wametoa kumuunga mkono Mama magufuli wakati wa  kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.

   Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dkt. Julius Mwaisalage alizopokea toka kwa Mkuu wa Wilaya Mhe Sophia Mjema kama sehemu ya zawadi ambazo kinamama wa Wilaya za Temeke na Ilala wametoa kumuunga mkono Mama magufuli  wakati wa  kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.

    Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dkt. Julius Mwaisalage misaada ambayo ametoa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa  wagonjwa waliolazwa katika Taasisi hiyo jijini Dar es Salaam.

   Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwapa pole wagonjwa wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi hiyo jijini Dar es Salaam.

   Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi zawadi kwa mmoja wa wagonjwa katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa na wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiomba dua na baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli alipotembelea  wodi za Taasisi ya Saratani ya Ocean Road   jijini Dar es Salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.

   Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dkt. Julius Mwaisalage misaada ambayo ametoa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi hiyo jijini Dar es Salaam.

   Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi msaadammoja wa wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiomba dua na baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.

 Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Theresia Mbando akimshukuru Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli kwa kutembelea  Taasisi ya Saratani ya Ocean Road  jijini Dar es Salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipongezwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala  kwa kutembelea  Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.

  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipongezwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala kwa kutembelea  Taasisi ya Saratani ya Ocean Road   jijini Dar es salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.

  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipongezwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala  kwa kutembelea  Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.

  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na meza kuu katika picha ya pamoja na uongozi wa Serikali za mitaa za Kivukoni na Sea View Taasisi ya Saratani ya Ocean Road  jijini Dar es Salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.

  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na meza kuu katika picha na Skauti alipotembelea  Taasisi ya Saratani ya Ocean Road  jijini Dar es Salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.

   Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli alipotembelea Taasisi ya Saratani ya Ocean Road  jijini Dar es Salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.

   Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimia ndugu waliofika kuona wagonjwa alipotembelea Taasisi ya Saratani ya Ocean Road  jijini Dar es Salaam na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye.

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na Dkt. Julius Mwaisalage Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam baada ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo ambako ndiko alikozaliwa yeye. (PICHA ZOTE NA IKULU)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAMA JANETH MAGUFULI ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTOA MISAADA KWA WAGONJWA DAR ES SALAAM LEO
MAMA JANETH MAGUFULI ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTOA MISAADA KWA WAGONJWA DAR ES SALAAM LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgAJm-5-EtXB6I8csh_BIxh8ph3WiFjEi-ZMPUoT8bq2AQ_NYt7k1uAMdAMa5nFlIw87aYjbhI0FV3GKY0YudM5KQLeiVqW-Rtl9QGq8D8Ju6FD3S0Pc4L_pHpF_k7f2dBb7uyQFPo13sEf/s640/oc1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgAJm-5-EtXB6I8csh_BIxh8ph3WiFjEi-ZMPUoT8bq2AQ_NYt7k1uAMdAMa5nFlIw87aYjbhI0FV3GKY0YudM5KQLeiVqW-Rtl9QGq8D8Ju6FD3S0Pc4L_pHpF_k7f2dBb7uyQFPo13sEf/s72-c/oc1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/04/mama-janeth-magufuli-asherehekea-siku.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/mama-janeth-magufuli-asherehekea-siku.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy