Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe. Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari nje ya Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo baada y...
Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe. Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari nje ya Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo baada ya kupata dhamani na kusema ataondoka na ndege jioni hii, kuelekea jijini Arusha kushiriki uchaguzi wa Rais wa Chama cha Wanasheria nchini (TLS) unaotarajiwa kufanyika jijini humo Machi 18, 2017. Pamoja naye (kulia kwake) ni Mbunge wa Arusha Mjini, Mhe. Godbless Lema pamoja na mashabiki wake.
Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe. Tundu Lissu akisalimia na Mama Wema, Miriam Sepetu baada ya kutoka Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo. |
COMMENTS