USIKU WA MISS PENDO KISAKA NA MWANAHABARI GEORGE BINAGI WAFANA
Homedijital

USIKU WA MISS PENDO KISAKA NA MWANAHABARI GEORGE BINAGI WAFANA

Jana Ijumaa March 17,2017 kuamkia Jumamosi, ilikuwa ni siku muhimu kwa Malikia wa nguvu, Pendo Kisaka, ambapo ndugu, jamaa na marafiki z...


Jana Ijumaa March 17,2017 kuamkia Jumamosi, ilikuwa ni siku muhimu kwa Malikia wa nguvu, Pendo Kisaka, ambapo ndugu, jamaa na marafiki zake walijumuika naye kwenye Sendoff yake kuelekea kwenye ndoa anayotarajiwa kufunga na mwanahabari/ mwanablogu, George Binagi, March 26,2017 Jijini Mwanza.

Shughuli ilifanyika katika ukumbi wa Heinken, Mbagala Kijichi Jijini Dar es Salaam. Ni mwendeleo wa kuelekea kwenye ndoa takatifu ya wawili hao iliyotangazwa March 12,2017 kanisa la EAGT Lumala Mpya Jijini Mwanza.
BMG
Bibi harusi mtarajiwa akimvisha saa mmewe mtarajiwa
Bibi harusi mtarajiwa (kulia) na best lady wake (kushoto).

Bibi harusi mtarajiwa akiwakabidhi keki wazazi wake na kusema ahsante kwa malezi yenu bora
Bibi harusi mtarajiwa, Pendo Kisaka (katikati), akimtambulisha mmewe mtarajiwa, George Binagi (kushoto)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: USIKU WA MISS PENDO KISAKA NA MWANAHABARI GEORGE BINAGI WAFANA
USIKU WA MISS PENDO KISAKA NA MWANAHABARI GEORGE BINAGI WAFANA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjxqXz3TNrbsRn0HZ7OHGeuFSwFPF39j8TvcWO6bP0myw2LJI8XxkA3PUmjVKNy1WqEJJPxQysrcfsQVjdKUWWWHq1YDvAWHlyqWAL3-mrII8Dl3ysNARlFeEn71tjT1xloCyCeoQzgqkU/s640/A.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjxqXz3TNrbsRn0HZ7OHGeuFSwFPF39j8TvcWO6bP0myw2LJI8XxkA3PUmjVKNy1WqEJJPxQysrcfsQVjdKUWWWHq1YDvAWHlyqWAL3-mrII8Dl3ysNARlFeEn71tjT1xloCyCeoQzgqkU/s72-c/A.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/03/usiku-wa-miss-pendo-kisaka-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/usiku-wa-miss-pendo-kisaka-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy