TANZANIA INAUTASHI WA DHATI KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZANI NA BIASHARA-WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
HomeJamii

TANZANIA INAUTASHI WA DHATI KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZANI NA BIASHARA-WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali chini ya Mheshimiwa Rais Dkt. John Magufuli ina utashi wa dhati wa kuboresha mazingira ya uweke...

NIKOHUB TUNAFUTURISHA WATU 100 KILA SIKU KUANZIA LEO HADI SIKU KUMI
RAIS KENYATTA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA BALOZI PINDI CHANA SIKU YA UTAMBULISHO
MD KAYOMBO: MIL 85,000,000 ZAPATIKANA ZITAJENGA MADARASA MATANO SHULE YA MSINGI HONDOGO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali chini ya Mheshimiwa Rais Dkt. John Magufuli ina utashi wa dhati wa kuboresha mazingira ya uwekezani na biashara nchini kwa kuondoa rushwa na urasimu katika sekta ya umma, hivyo amewakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara wa Mauritius kuja nchini.

Amesema Tanzania imefanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kwa kubadili mifumo yake ya kisheria, kitaasisi na kifedha ili kuhakikisha wawekezaji wanahudumiwa ipasavyo na kupewa umuhimu wanaostahili kwani ni wadau muhimu kwa maendeleo ya Taifa.

Waziri Mkuu amesema hayo jana (Alhamisi, Machi 23,2017) wakati akifungua kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Mauritius lilifanyika katika Hotel ya Labourdonnaise mjini Port Louisnchini Mauritius. Kongamano hilo liliandaliwa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC).

Alisema Tanzania ina uchumi imara unaofuata misingi ya soko huria, ambapo mwekezaji ana uhuru wa kufanya biashara bila ya kuingiliwa na Serikali, hivyo sekta binafsi imepewa kipaumbele katika shughuli za kiuchumi na kibiashara nchini.

“Kwa niaba ya Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli nawakaribisha kwa mikono miwili kuja na kuwekeza nchini katika sekta mbalimbali zikiwemo za viwanda na utalii na kutembelea vivutio vya utalii na kupata burudani ya aina yake na kwa wafanyabiashara Tanzania ni mahali pazuri kwa kuwekeza,” alisema



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri Mkuu wa Mauritius, Pravind Kumar Jugnauth katika mkutano wa Uwekezaji na Biashara kati ya Tanzania na Mauritius kabla ya kufungua mkutano huo mjini Port Louis, Machi 23, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu wa Mauritius, Pravind Kumar Jugnauth akizungumza katika mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Mauritius mjini Port Louis Machi 23, 2017. 


Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Mauritius wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo mjini Port Louis Machi 23, 2017

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Mauritius mjini Port Louis nchini Mauritius, Machi 23, 2017.

Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Mauritius wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo mjini Port Louis Machi 23, 2017

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri Mkuu wa Mauritius, Pravind Kumar Jugnauth baada ya kufungua mkutano wa Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Mauritius mjini Port Louis Machi 23, 2017
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TANZANIA INAUTASHI WA DHATI KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZANI NA BIASHARA-WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
TANZANIA INAUTASHI WA DHATI KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZANI NA BIASHARA-WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjMXjB46gOGQBBFHMJK00E-QHDPP5zHDTVAhLfeHTTAliIToN2WL_1qC-Yewer3N9vqWjOOvKToMPIwjWQlKtYJLPB11SDDxWQtTtEDx_yFXh9mhP7efA-pT2axHNmSjj5oUEisk6f69Fo/s640/RG1A0061.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjMXjB46gOGQBBFHMJK00E-QHDPP5zHDTVAhLfeHTTAliIToN2WL_1qC-Yewer3N9vqWjOOvKToMPIwjWQlKtYJLPB11SDDxWQtTtEDx_yFXh9mhP7efA-pT2axHNmSjj5oUEisk6f69Fo/s72-c/RG1A0061.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/03/tanzania-inautashi-wa-dhati-kuboresha.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/tanzania-inautashi-wa-dhati-kuboresha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy