Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasili ukumbini na viongozi wengine wa meza kuu tayari kuendelea na siku ya pili ya...
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu
mstaafu wa CCM-Zanzibar, Vuai Ali Vuai, baada ya kuwasili ukumbini.
Wapili kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo na kulia
ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Lela Ame Silima
Katibu
Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana akifungua kuendelea kwa siku ya pili kwa
semina hiyo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiendelea kuongoza semina hiyo.
Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ngemela
Lubinga, Naibu Katibu Mkuu wa CCM- Zanzibar Dk. Abdallah Juma Abdallah,
na Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Zanzibar Vuai Ali Vuai na kulia ni
Katibu wa NEC Oganaizesheni Lela Ame Silima, Katibu wa NEC Oganaizesheni mstaafu Mohammed Seif Khatib na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo.
Semina ikiendelea
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiendelea kuongoza semina hiyo.
Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ngemela
Lubinga, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Zanzibar Dk. Abdallah Juma Abdallah,
Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Zanzibar Vuai Ali Vuai na kulia ni
Katibu wa NEC, Oganaizesheni Lela Ame Silima, Katibu wa NEC Oganaizesheni mstaafu Mohammed Seif Khatib na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo.
Sekretarieti ya semina hiyo wakiwa kazini
Sekretarieti ya semina hiyo wakiwa kazini
Wajumbe kwenye semina hiyo
Maofisa waandamizi wa CCM wakifuatilia hali ya mambo kwenye semina hiyo
Mshiriki akipata habari motomoto na za uhakika kwenye gazeti la uhuru wakati akiwa kwenye semina hiyo
Mshiriki akipitia Kitabu cha Mabadiliko ya Katiba ya CCM na kanuni zake, wakati akiwa kwenye semina hiyo
Katibu wa seretarieti ya CCM, Anamringi Macha akimsalimia Ofisa Mwandamizi wa Chama, ukumbini
Mmoja
wa washiriki wa semina hiyo ndugu Vyohoroka, akisalimia washiriki
wenzake ukumbini. Kulia ni Kaimu Katibu Mtendaji wa Shirikisho la Vyuo
vya Elimu ya Juu-CCM, Daniel Zenda. KWA PICHA NYINGINE KEM KEM ZA SEMINA HIYO MUHIMU TAFADAHLI/>GONGA HAPA FASTA
COMMENTS