Mkuu wa mkoa wa Mtwara Halima Dendego ataja sababu zilizopelekea mkaoa huo kushuka kwa elimu mwaka 2016-17, katika matokeo ya k...
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Halima Dendego ataja sababu zilizopelekea mkaoa huo kushuka kwa elimu mwaka 2016-17, katika matokeo ya kidato cha pili .ambapo shule 10 zilizofanya vibaya shule 9 zimetoka mkoani humo na matokeo ya darasa la saba ambapo mkoa huo ulikuwa wa pili kutoka mwisho.Hii hapa video yake.
COMMENTS