MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM MHE. RAIS DKT. MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Ch...




Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Salim Ahmed Salim mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichofanyika jijini Dar es Salaam. (PICHA NA IKULU)



Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais, Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti CCM (Zanzibar) Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichofanyika jijini Dar es Salaam.


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti CCM (Zanzibar) Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiwa pamoja na Wajumbe wengine wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM, mara baada ya kumalizika kwa kikao hicho jijini Dar es Salaam.




Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kuendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM leo jijini Dar es Salaam.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM MHE. RAIS DKT. MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM MHE. RAIS DKT. MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgeRThowNcwUx8dw2-qt3NqMds7ALrPvXHNFBO-IQbeI7xMzlT6Ep5OOblJND2lUe2qAtBaf4eabJitdyvKt0_e-rWqPmUfFVeJPMUvmhYGUlO_KnyO3eOoKeMD3VMbJT7ISVtxZLLe-IA/s640/8.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgeRThowNcwUx8dw2-qt3NqMds7ALrPvXHNFBO-IQbeI7xMzlT6Ep5OOblJND2lUe2qAtBaf4eabJitdyvKt0_e-rWqPmUfFVeJPMUvmhYGUlO_KnyO3eOoKeMD3VMbJT7ISVtxZLLe-IA/s72-c/8.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/03/mwenyekiti-wa-chama-cha-mapinduzi-ccm.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/mwenyekiti-wa-chama-cha-mapinduzi-ccm.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy