Naibu katibu Mkuu CCM Bara, Ndugu Rodrick Mpogolo akimsikiliza Katibu Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole walipokuwa wakipanga mi...
Naibu
katibu Mkuu CCM Bara, Ndugu Rodrick Mpogolo akimsikiliza Katibu Itikadi
na Uenezi Humphrey Polepole walipokuwa wakipanga mikakati kufanikisha
mkutano mkuu wa CCM uatakaofanyika katika ukumbi wa mikutano, Dodoma leo.
Katibu
Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akiwa ameongozana na Mkurugenzi wa
Kampuni ya Jitegee,Bwa. Antony Machundewalipokuwa wakikagua maandalizi
ya mkutanao Mkuu wa CCM, utakaofanyika mjini Dodoma.
Msaidizi
wa Mwenyeikiti wa CCM Suleiman Mwenda akimuelekeza jambo Naibu katibu
Mkuu CCM Bara,Ndugu Rodrick Mpogolo walipokwenda kujionea maendeleo ya
maandalizi ya ukumbi kwa ajili ya Mkutano mkuu wa CCM,unaotarajiwa
kufanyika mjini Dodoma
COMMENTS