Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo akizungumza na wanahabari kuhusu Jeshi hilo kuanza kul...
Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini Tanzania, Jenerali Venance
Mabeyo akizungumza na wanahabari kuhusu Jeshi hilo kuanza kulipa deni
wanalodaiwa na Shirika la Umeme nchini TANESCO kuanzia siku ya kesho.
Mkutano huo umefanyika katika Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi Ngome
jijini Dar es Salaam.
COMMENTS