Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Tanzani...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania, Ineke Bussemaker, alipofika Ikulu Zanzibar leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein,
akimsindikiza mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania,
Ineke Bussemaker, baada ya mazungumzo yao leo Ikulu Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein,
akiagana na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania baada ya
mazungumzo yao Ikulu leo
(PICHA NA IKULU)
COMMENTS