Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jiji...

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu
akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es
Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 1o zinazozunguka mto
Nile zikiwa na kauli mbiu “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati,
Chakula na Maji kwa Wote”
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji wa Tanzania Mhandisi Gerson Lwenge akizungumza
wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe
hizo zimeshirikisha takribani nchi 1o zinazozunguka mto Nile zikiwa na
kauli mbiu “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na
Maji kwa Wote”
Waziri
wa zamani katika Serikali ya Awamu ya Nne Profesa Mark Mwandosya
akielezea umuhimu wa Mto Nile wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo
Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10
zinazozunguka mto Nile zikiwa na kauli mbiu “Mto wetu wa pamoja Nile –
Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Mkurugenzi Mtendaji wa Nile Basin Initiative Mhandisi Innocent Ntabana akizungumza
wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe
hizo zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile zikiwa na
kauli mbiu “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na
Maji kwa Wote” Kutoka Kulia ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji
Mhandisi Isack Kamwele na Waziri wa zamani katika Serikali ya Awamu ya
Nne Profesa Mark Mwandosya
Balozi
Maalum wa Masuala ya Mto Bonde la Mto Nile kutoka Ofisi ya Mambo ya Nje
ya Ujerumani Rolf Welberts akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Mto
Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani
nchi 1o zinazozunguka mto Nile zikiwa na kauli mbiu “Mto wetu wa pamoja
Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji wa Tanzania Mhandisi Gerson Lwenge akizungumza
kabla ya kuanza maandamano ya amani wakati wa sherehe za Siku ya Mto
Nile leo Jijini Dar es Salaam. Maandamano hayo yalianzia katika Viwanja
vya Mnazi Mmoja na kuelekea hadi katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano
wa Mwalimu Julius Nyerere.
Waziri
wa Maji wa Uganda ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya nchi
zinzaozunguka Bonde la Mto Nile Bw. Sam Cheptoris akiwatambulisha
Mawaziri wa Maji kutoka nchi wanachama wakati wa sherehe za Siku ya Mto
Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani
nchi 1o zinazozunguka mto Nile zikiwa na kauli mbiu “Mto wetu wa pamoja
Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Maandamano
yakiendelea wakati wa sherehe ya Siku ya Mto Nile ambayo imejumuisha
nchi takrinibani 10 zinazozunguka Bonde la Mto Nile, nchi hizo ni pamoja
na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia,
Rwanda, Misri na mwenyeji Tanzania.

wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akipokea
maandamano mara baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Kimataifa wa
Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile
leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10
zinazozunguka mto Nile ambazo ni pamoja na Kenya, Uganda, Burundi,
Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda, Misri na mwenyeji
Tanzania. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi Angelina Mabula.
Waandamanaji
wakipita mbele ya Makamu wa Rais Samia Hassan Suluhu(hayupo pichani)
huku wakipunga mkono walipokuwa wakiwasili katika Ukumbi wa Kimataifa wa
Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere leo Jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akipeana
mkono na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge mara
baada ya kupokea maandamano baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Kimataifa
wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere wakati wa sherehe za Siku ya Mto
Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani
nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni pamoja na Kenya, Uganda,
Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda, Misri na
mwenyeji Tanzania. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo
ya Makazi Angelina Mabula.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu
akimwagilia maji mti alioupanda ikiwa ni kumbukumbu ya sherehe za Siku
ya Nile mara baada ya kupokea maandamano ya amani katika Ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere wakati wa sherehe za
Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Maji wa Burundi akipanda mti kama kumbukumbu ya ya sherehe za Siku
ya Nile iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo
zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni pamoja
na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia,
Rwanda, Misri na mwenyeji Tanzania.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akisoma
ujumbe kutoka katika mabongo yaliyobebwa na wanafunzi wa Shule ya msingi
Uhuru Mchanganyiko ya Jijini Dar es Salaam mara baada ya kupokea
maandamano ya amani katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu
Julius Nyerere wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akipata
maelezo kuhusu Miradi mbalimbali inayotekelezwa kupitia Program ya Nile
Basin Initiative alipotembelea mabanda ya taasisi mbalimbali wakati wa
sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Mawaziri wa Maji kutoka nchi washirika wa Bonde la Mto Nile, pamoja
na baadhi ya Viongozi kutoka Tanzania wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa
sherehe za Siku ya Nile zilizofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe
hizo zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni
pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia,
Rwanda, Misri na mwenyeji Tanzania.
Wanafunzi
wa Shule ya Msingi Mlimani ya Jijini Dar es Salaam wakiimba ngojera
mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mama Samia Hassan Suluhu wakati wa sherehe za Siku ya Nile zilizofanyika
leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu
akionyesha tuzo aliyokabidhiwa wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo
Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10
zinazozunguka mto Nile ambazo ni pamoja na Kenya, Uganda, Burundi,
Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda, Misri na mwenyeji
Tanzania.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu
akimkabidhi tuzo Waziri wa zamani wa Serikali ya Awamu ya Nne Profesa
Mark Mwandosya wakati
wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo
zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni pamoja
na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia,
Rwanda, Misri na mwenyeji Tanzania. Kushoto ni Waziri wa Maji na
Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akiwa
katika picha ya pamoja na Mawaziri kutoka nchi Washirika wa Jumuiya ya
Watumia Maji ya Mto Nile, wakati wa sherehe za Siku ya Nile leo Jijini
Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10
zinazozunguka mto Nile ambazo ni pamoja na Kenya, Uganda, Burundi,
Sudan, South Sudan, DR-Congo, Ethiopia, Rwanda, Misri na mwenyeji
Tanzania. (Picha zote na Frank Shija – MAELEZO)
COMMENTS