Kaimu Meneja Mwandamizi udhibiti mifumo ya umeme TANESCO makao makuu, Mhandisi Abubakar Issa,(katikati), akionyesha kifaa kilic...
Kaimu Meneja Mwandamizi udhibiti mifumo ya umeme TANESCO makao makuu, Mhandisi Abubakar Issa,(katikati), akionyesha kifaa kilicholipika (female connector), cha umeme wa 132kv kutoka Ubungo kwenda Chalinze. Kulia ni KaimunMeneja Uhusiano, Bi. Leila Muhaji na kushoto ni mwangalkizi mkuu wa kituo cha kupoza umeme cha Ubungo jijini Dar es Salaam, Bw,Deodatus Ngwanda |
Hii ndiyo kikata umeme (Circuit breaker) iliyolipuka
Female Connector inayotoa umeme hapo ubunge kupeleka Chalinze mkoani Pwani ambayo ililipuka
Female connector (juu katikati) iliyolipuka
Kaimu
Meneja Uhusiano wa TANESCO makao makuu, Bi Leila Muhaji, akiwa na
baadhi ya waandshi wa habari waliotembelea eneo hilo leo mchana Januari
25, 2017
COMMENTS