Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan atika uwanja wa n...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan atika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari
28, 2017 wakati akielekea kupanda ndege kuelekea Addis Ababa, Ethiopia,
kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 28 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU).(PICHA
NA IKULU)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais wa Mungano wa Visiwa vya Comoro Mhe. Azali Assoumani
walipokutana kwenye ndege katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 28, 2017 tayari kwa safari ya Addis
Ababa, Ethiopia, kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 28 wa Wakuu wa nchi za Umoja
wa Afrika (AU). Rais Assoumani alikuwa akitokea Comoro kupitia Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika uwanja wa ndege
wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 28,
2017 wakati akielekea kupanda ndege kuelekea Addis Ababa, Ethiopia,
kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 28 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na wakuu wa vikosi vya ulinzi na usalama katika uwanja
wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi
Januari 28, 2017 wakati akielekea kupanda ndege kuelekea Addis Ababa,
Ethiopia, kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 28 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa
Afrika (AU).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Balozi wa Comoro nchini Dk.Ahamada El Badaoui Mohamed katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 28, 2017
wakati akielekea kupanda ndege kuelekea Addis Ababa, Ethiopia, kuhudhuria
Mkutano wa Kilele wa 28 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wafanyakazi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 28, 2017 wakati akielekea kupanda ndege kuelekea Addis Ababa, Ethiopia, kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 28 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU).
COMMENTS