Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kushoto), akiongozwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa K...
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni
(wapili kushoto), akiongozwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi ambaye pia
ni Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Saleh Mhando wakati akiwasili ofisi ya
mkoa huo kwa ziara ya kikazi ikiwa na lengo la kuona changamoto za
masuala ya ulinzi na usalama na kuyatafutia ufumbuzi.Wengine ni viongozi
wa serikali mkoani hapo.
Kaimu
Mkuu wa Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika,
Saleh Mhando (kushoto), akitoa taarifa ya Mkoa kwa Naibu Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kulia) wakati
wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo mkoani hapo ikiwa na lengo la
kuona changamoto za masuala ya ulinzi na usalama na kuyatafutia
ufumbuzi.
Katibu
Tawala Mkoa wa Katavi, Paul Chagonja akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo
pichani) wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo mkoani hapo
yenye lengo la kuona changamoto za masuala ya ulinzi na usalama na
kuyatafutia ufumbuzi.Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Lilian Matinga.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni(wakwanza kulia), akimsikiliza Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi
ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Saleh Mhando, wakati wa
ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo mkoani hapo kwa lengo la kuona
changamoto za masuala ya ulinzi na usalama na kuyatafutia
ufumbuzi.Wengine ni viongozi wa mkoa huo kutoka kada mbalimbali.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni
(watatu kulia),akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa
Katavi ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Saleh Mhando,(wapili
kulia). Naibu Waziri alifika mkoani hapo kwa ziara ya kikazi ikiwa na
lengo la kuona changamoto za masuala ya ulinzi na usalama na kuyatafutia
ufumbuzi. Wengine ni viongozi wa mkoa huo kutoka kada mbalimbali (Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
COMMENTS