Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, Saleh Mhando akiwa sambamba na kamati ya Ulinzi na Usalama, kwa pamoja wakiwa kwenye ...
Mkuu
wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, Saleh Mhando akiwa sambamba na
kamati ya Ulinzi na Usalama, kwa pamoja wakiwa kwenye ziara ya siku tatu
ya kukagua hali ya Kilimo cha mazao ya Mahindi, Mpunga, Alizeti na
Tumbaku. DC Mhando amesema kuwa kwa ujumla hali ni nzuri sana na Wananchi
wanatarajia kupata mavuno ya kutosha pamoja na ziada.
Moja ya shamba la Mahindi yakiwa yamestawi vyema.
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, Saleh Mhando akiwa sambamba
na kamati ya Ulinzi na Usalama wakikagua mashamba ya mpunga na kujionea
hali halisi ya kilimo cha mpunga.
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, Saleh Mhando akiwa sambamba
na mmoja wa Wanakamati ya Ulinzi na Usalama wakikagua moja ya mashamba
ya mahindi na kujionea hali halisi ya kilimo.
Mkuu
wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi,Saleh Mhando akiwa sambamba na
kamati ya Ulinzi na Usalama wakikagua mashamba ya mpunga na kujionea
hali halisi ya kilimo cha mpunga.
Mkuu
wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi,Saleh Mhando akiwa sambamba
na kamati ya Ulinzi na Usalama wakijadiliana jambo mara baada ya
kumaliza kukagua baadhi ya mashamba ya Mahindi na Mpunga wilayani humo
mkoani Katavi.
COMMENTS