MAMLAKA ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) yatwaa ushindi wa NBAA katika utunzaji bora wa mahesabu kwa...
MAMLAKA ya Usimamizi na
Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) yatwaa ushindi wa NBAA katika
utunzaji bora wa mahesabu kwa mwaka 2014/15. SSRA imekuwa mshindi wa pili kati
ya Mamlaka za Udhibiti zinazotumia viwango vya Kimataifa vya mahesabu ya
Taasisi za Umma (IPSAS)

Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka akipokea Tuzo ya NBAA ya utunzaji bora wa mahesabu ya Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA).
Mwenyekiti wa Bodi ya SSRA, Juma Muhimbi aliyeshikilia Tuzo ya NBAA baada ya SSRA kuibuka mshindi katika utunzaji bora wa mahesabu wengine pichani ni watumishi wa Mamlaka.
Mwenyekiti wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii Juma Muhimbi, akimpongeza Irene Isaka, Mkurugenzi Mkuu wa SSRA.
Latifa Mazengo, akiwa ameshikilia Tuzo hiyo. Wa tatu (kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka akiwa pamoja na watumishi wa Mamlaka hiyo.
COMMENTS