MICHEZO YA TANO YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA YATIMUA VUMBI TANGA

Tanga , MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Deudence Kakoko, amewataka wafanyakazi wa mamlaka hiyo ...







Tanga, MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Deudence Kakoko, amewataka wafanyakazi wa mamlaka hiyo kufanya kazi kwa bidii ili kwenda kasi ya  Serikali ya awamu ya Tano.
Akifungua michezo ya Tano ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (INTERPORTS GAMES) viwanja vya shule ya Sekondari ya Popatlal Tanga jana, Kakoko, alisema kila mfanyakazi wa Mamlaka hiyo anapaswa kujua wajibu wake.
Alisema kasi hiyo iende samjari na uboreshaji wa utoaji huduma bandarini na kuwa kivutio kwa wageni ili kuweza kuitumia kwa kushusha shehena zao bandari za Tanzania.
Michezo hiyo inashirikisha wafanyakazi wachezaji kutoka Tanga ambao ni wenyeji, Dar es Salaam, Mtwara na Bandari za Ziwa. 
 





COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MICHEZO YA TANO YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA YATIMUA VUMBI TANGA
MICHEZO YA TANO YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA YATIMUA VUMBI TANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgfZVoKnnhN3jTrNPCyCE26-c6QIMOgZ88yrTsZPguOowo4yINdQBFbmREj6M6XiFLfkHxHjd309vhM-1RGQnUYXPfp_dRKf5AQ10QccGi3Ipiemhqko8rqWWNmLB5eCp6mdOllSj9EMyM/s640/DSCN1300.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgfZVoKnnhN3jTrNPCyCE26-c6QIMOgZ88yrTsZPguOowo4yINdQBFbmREj6M6XiFLfkHxHjd309vhM-1RGQnUYXPfp_dRKf5AQ10QccGi3Ipiemhqko8rqWWNmLB5eCp6mdOllSj9EMyM/s72-c/DSCN1300.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/12/michezo-ya-tano-ya-mamlaka-ya-usimamizi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/12/michezo-ya-tano-ya-mamlaka-ya-usimamizi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy