Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maadalizi ya eneo la ujezi wa nyumba za askari magereza katika gereza la Ukonga ji...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maadalizi ya eneo la ujezi
wa nyumba za askari magereza katika gereza la Ukonga jijini Dar es
salaam Desemba 24, 2016. Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani,
Mhandisi Hamad Masauni na kushoto kwake ni Kaimu Kamishina Jenerali wa
Magereza, Dkt. Juma Ali Malewa. (PICHA
NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea heshima kutoka kwa gwaride
lililoandaliwa na Jeshi la Magereza wakati alipowasili kwenye
gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kukagua maadlizi ya ujenzi wa
nyumba za makazi ya Askari Magereza Desemba 24, 2016.
COMMENTS