Bwana harusi, George Raphael na mkewe Victoria Mollel wakiwa katika pozi la tabasamu baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa...
Bwana harusi, George Raphael na mkewe Victoria Mollel wakiwa katika pozi la tabasamu baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa la Ushirika wa Ubungo, Lutherani ibada hiyo ya ndoa iliyoongozwa na Mchungaji Godliste Nkya.
Biharusi, Victoria Mollel katika pozi.
Bwana harusi, George Raphael.
Bwana na Biharusi wakiwa katika pozi baada ya kufunga pingu za maisha
Maharusi katika Picha ya familia ya pande zote mblili.
Maharusi na wapambe katika picha ya pamoja.
Mmoja wa wapambe katika pozi.
Victoria Mollel akipunga mkono akiondoka Kanisani baada ya kufunga pingu za Maisha na mpendwa mume wake, George Raphael nakuelekea kupiga picha katika eneo la Chuo Cha Sheria Sinza Jijini Dar es Salaam, ambapo Sherehe ilifanyika katika Ukukumbi uliopo hapo hapo katika Chuo hicho.
Maharusi katika pozi wakisaidiwa na wapambe wao kwa kushika shera ya biharusi
Bwana harusi George Raphael na Victoria Mollel wakiwa katika pozi
Biharusi, Victoria Mollel katika picha ya pamoja na familia ya pande mbili, kushoto ni mama Mzazi wa Biharusi Victoria Mollel , Julieth Mollel
Ka
Biharusi Victoria Mollel akiwa Saloon
Wapambe wa maharusi Imanuel Zakayo na mkewe Daisy Mbowe wakiwa katika picha ya pamoja ambao ni mke na mume
Mchungaji Godliste Nkya akiwakabidhi Cheti cha Ndoa baada ya kufunga pingu za Maisha
Wazazi na wapambe wakitoka Kanisani baada ya kufunga pingu za maisha
Maharusi wakikata Keki
(Picha na Khamisi Mussa wa ujijirahaa blog)
COMMENTS