Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu)Mhe. Dkt. Abdallah Possi akipokea mafuta maalumu ya ngozi kwa watu we...
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye
Ulemavu)Mhe. Dkt. Abdallah Possi akipokea mafuta maalumu ya ngozi kwa watu
wenye ualbino kutoka kwa Mkuu wa Kituo cha kuhudumia watoto wenye Ualbino cha
Lamadi Bi. Hellen Ntambulwa ikiwa ni sehemu ya zawadi kwa ziara yake kituoni
hapo, Novemba 20, 2016
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye
Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto wenye ualbino wanaolelewa na Kituo
cha Lamadi Wilayani Busega Mkoa wa Simiyu.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye
Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akimsikiliza Mwandishi wa habari wa ITV Bw.
Berensi China wakati wa ziara yake Kituo cha kulelea watoto wenye Ualbino cha
Lamadi Simiyu. (PICHA ZOTE NA OFISI
YA WAZIRI MKUU).
Naibu Waziri Ofisi ya
Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi akisalimiana na baadhi ya Watendaji wa
Serikali katika Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu wakati wa ziara yake ya
kutembelea vituo na shule za watu wenye Ulemavu tarehe 20 Novemba, 2016.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye
Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi
akizungumza na baadhi ya watendaji wa Serikali (hawapo pichani) katika
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu alipofanya ziara ya kikazi.
Mkuu wa Wilaya ya Busega Mhe. Tano S. Mwera
akizungumza na watendaji wa Kituo cha kulelea watoto wenye ualbino cha Lamadi
(hawapo pichani) wakati wa ziara ya Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu
wenye Ulemavu) Mhe. Dkt. Abdallah Possi Novemba 20, 2016 Mkoani Simiyu.
COMMENTS