WAZIRI NDALICHAKO  AFUNGA MKUTANO WA AGA KHAN  KUBORESHA SEKTA YA ELIMU TANZANIA
HomeJamii

WAZIRI NDALICHAKO AFUNGA MKUTANO WA AGA KHAN KUBORESHA SEKTA YA ELIMU TANZANIA

 Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako akihutubia alipokuwa akifunga mkutano wa wadau...

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA TAMASHA LA WASANII WANAWAKE WA MKOA WA KUSINI UNGUJA
MAADHIMISHO YA KIFO CHA MWANGOSI 2017, WANAHABARI WALILIA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI.
RAIS DKT. MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH WASALI KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO LA MAGOMENI DAR






 Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako akihutubia alipokuwa akifunga mkutano wa wadau wakiwemo wabunge wa kuboresha sekta ya elimu nchini mjini Dodoma jana. Mkutano huo wa siku mbili uliandaliwa na Chuo Kikuu cha Aga Khan. (Picha na Richard  Mwaikenda wa Kamana wa Matukio Blog)

 Mkurugenzi wa Chuo Kikuu cha Aga Khan, Profesa JoeLugalla akielezea mambo mbalimbali waliyokubaliana katika mkutano huo jinsi wadau wanavyotakiwa kusaidiana na serikali kuboresha elimu nchini.

 Washiriki wakisikiliza kwa makini wakati Profesa Ndalichako akifunga mkutano huo uliofanyika kwenye Hoteli ya Morena.











 Profesa Ndalichako akiwaeleza washiriki kwamba suala la uboreshaji wa elimu nchini litafanikiwa kwa wadau kushirikiana na serikali.

 Profesa Lugalla akimpongeza Profesa Ndalichako

 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Kitilya Mkumbo akimpongeza Profesa Ndalichako kwa hotuba yake nzuri.

 Dk. Mkumbo akitoa neno la shukrani kwa Profesa Ndalichako na wadau wengine wa elimu kwa kushiriki katika mkutano huo.

 Meza Kuu ikiongozwa na Profesa Ndalichako wakipiga makofi baada ya kufurahishwa na hotuba ya Dk. Mkumbo

Profesa Ndalichako akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa elimu walioshiriki katika mkutano huo umuhimu kwa uhai wa elimu nchini.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI NDALICHAKO AFUNGA MKUTANO WA AGA KHAN KUBORESHA SEKTA YA ELIMU TANZANIA
WAZIRI NDALICHAKO AFUNGA MKUTANO WA AGA KHAN KUBORESHA SEKTA YA ELIMU TANZANIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgk28OXxiRCnKUA3Ef9tKAgTb117HJv34Xo2LERmeHVcbSvIODravdOtSyy-fbOVUGQzfsOaRTgarN2BAGJ_K2CFE688irAGJdkIjdiB8tzb4UM-2D1PuWcTKOxnoYxz90op7m1CQ5r6Ow/s640/01.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgk28OXxiRCnKUA3Ef9tKAgTb117HJv34Xo2LERmeHVcbSvIODravdOtSyy-fbOVUGQzfsOaRTgarN2BAGJ_K2CFE688irAGJdkIjdiB8tzb4UM-2D1PuWcTKOxnoYxz90op7m1CQ5r6Ow/s72-c/01.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/waziri-ndalichako-afunga-mkutano-wa-aga_6.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/waziri-ndalichako-afunga-mkutano-wa-aga_6.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy