WANAWAKE MKOANI MWANZA WATAKIWA KUHUDHURIA KONGAMANO LA SAUTI YA MWANAMKE
HomeUchumi

WANAWAKE MKOANI MWANZA WATAKIWA KUHUDHURIA KONGAMANO LA SAUTI YA MWANAMKE

Na George Binagi-GB Pazzo @BMG Wanawake mkoani Mwanza wamehimizwa kuhudhuria Kongamano la Sauti ya Mwanamke litakalowakutanisha ...

HOTUBA YA BAJETI NA MUHTASARI WAKE KUPANDISHWA KWENYE MTANDAO
SERA YA TAIFA YA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA NI MKOMBOZI WA WANANCHI
SERIKALI IMESHUSHA RIBA BENKI KUU ILI KUIMARISHA SEKTA YA FEDHA NA UCHUMI






Na George Binagi-GB Pazzo @BMG
Wanawake mkoani Mwanza wamehimizwa kuhudhuria Kongamano la Sauti ya Mwanamke litakalowakutanisha baadhi ya wanawake waliofanikiwa kiuchumi nchini, ili kujifunza na kuhamasika katika kujikwamua kiuchumi.

Mwandaaji wa Kongamano hilo, Mboni Masimba ambaye pia ni mtangazaji wa kipindi cha runinga cha The Mboni Show, amesema kongamano hilo limelenga kuwahamasisha wanawake kufanya kazi kwa bidii na kwa kujiamini zaidi bila kuongopa vikwazo vya kibiashara.

“Njoo ujifunze nguvu ya mwanamke katika biashara, kushinda vikwazo, kujiamini, kufanya kazi kwa bidii, kutoogopa hatari za kibiashara pamoja na kuwa na malengo ya muda mrefu ambapo wahamasishaji na wafundaji mbalimbali watakuwepo”. Amesema Masimba na kuongeza kwamba pia kutakuwa na burudani ya muziki kutoka kwa Isha Mashauzi na Zarry Edosha pamoja na vichekesho kutoka kwa Katarina Wa Karatu.

Aidha Masimba amesema tayari tiketi za kongamano hilo litakalofanyika tarehe sita mwezi huu kwenye ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza zimeanza kuuzwa kwa shilingi elfu arobaini katika maeneo mbalimbali ikiwemo Gold Crest Hotel, TSN Super Market Rock City Mall, Flora Salon, Kayvies Beaty Parlour Magnum Hotel Ghana, Idda Garments Ghana, Diamond Bar Kona ya Bwiru pamoja Bladict Classic Wear mtaa wa Uhuru Dampo.
Bonyeza HAPA Kwa Taarifa Zaidi.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WANAWAKE MKOANI MWANZA WATAKIWA KUHUDHURIA KONGAMANO LA SAUTI YA MWANAMKE
WANAWAKE MKOANI MWANZA WATAKIWA KUHUDHURIA KONGAMANO LA SAUTI YA MWANAMKE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4oiIlH-NaMu7_OdeF_2ZOri5zrUFqO2oOz6vangODlZRa72arxhpQvrIp4mJ9PyTRMJCtfmmxhR9nSH7Jw492d6BASoB9blSsEy2Hr-7Sw0YxsTrmTo_vtMpZoyOgCSbAFWl5X4UjlTI/s640/11.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4oiIlH-NaMu7_OdeF_2ZOri5zrUFqO2oOz6vangODlZRa72arxhpQvrIp4mJ9PyTRMJCtfmmxhR9nSH7Jw492d6BASoB9blSsEy2Hr-7Sw0YxsTrmTo_vtMpZoyOgCSbAFWl5X4UjlTI/s72-c/11.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/wanawake-mkoani-mwanza-watakiwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/wanawake-mkoani-mwanza-watakiwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy