Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao,(watatu kushoto) akimkabidhi hati ya maombi ya kuijiunga na soko la hisa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian
Ferrao,(watatu kushoto) akimkabidhi hati ya maombi ya kuijiunga na soko la hisa
la Dar es Salaam,(DSE) Mkurugenzi wa Mamlaka ya
Masoko na Mitaji na Dhamana(CMSA) Nicodemus Mkama wapili (kushoto)
wakati wa hafla fupi iliyofanyike mwishoni mwa wiki katika ofisi za CMSA
jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Meneja Uhusiano wa
CMSA, Charles Shirima , wanaoshuhudia kutoka Kulia ni Mkurugenzi wa
Ushauri wa kutoka huduma za Orbit Securities Company Ltd. Gerase
Kamugisha, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,
Rosalynn Mworia (wapili kulia) na Mkuu wa fedha wa kampuni ya Orbit
Securities Company Ltd, Godfrey Gabriel (wa tatu kulia)
Mkurugenzi wa Ushauri wa kutoka huduma za Orbit
Securities Company Ltd. Gerase Kamugisha(kushoto)Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom
Tanzania, Ian Ferrao, Mkurugenzi Mtendaji wa DSE,Moremi Marwa, Mkuu wa masuala
ya kifedha wa Orbit Securities Company Ltd, Godfrey Gabriel, Mkurugenzi wa
Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia,wakionyesha hati za maombi ya kuijiunga na soko la hisa la
Dar es Salaam (DSE) mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom
Tanzania, Ian Ferrao,(kulia) akimkabidhi hati ya maombi ya kujiunga na soko la
hisa la Dar es Salaam,(DSE) Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Masoko na Mitaji na Dhamana (CMSA) Nicodemus Mkama(wapili kushoto) wakati wa hafla fupi iliyofanyike
mwishoni mwa wiki katika ofisi za CMSA jijini Dar es Saalaam,Kushoto ni Meneja
Uhusiano wa CMSA, Charles Shirima.
COMMENTS