SPIKA WA KWANZA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI, KATIBU MKUU WA CCM, ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA WABUNGE WA BUNGE HILO LEO.
HomeJamii

SPIKA WA KWANZA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI, KATIBU MKUU WA CCM, ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA WABUNGE WA BUNGE HILO LEO.

Spika wa kwanza wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungunguza na wabunge wa Bunge hil...

MAPATO YA KOROSHO YAFIKIA TRILIONI 1.08 HADI SASA
WAZIRI MKUU ATOA KADI ZA CHF KWA WAZEE 4,000
RAIS WA ZANZIBAR, DKT. ALI MOHAMMED SHEIN ATOA SALAM ZA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2018








Spika wa kwanza wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungunguza na wabunge wa Bunge hilo, walipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam, ili umsalimia na kupata mawazo kutokana na uzoefu wake hasa alipokuwa Spika wa Bunge hilo la Afrika Mashariki. Wa Kwanza kulia upande wa mstari wa kushoto, ni Mwenyekiti wa Wabunge hao, Makongoro Nyerere, Shayrose Bhaji, Yves Nsabimana, Maryam Ussi, Twaha Tasilima, Wilime Asheri ambaye ni mratibu EALA na kutoka kulia) Katibu wa NEC Oganaizesheni, Mohammed Seif Khatib, na Wabunge wa EALA, Adam Kimbisa, Bernard Murunya, Abdulla Mwinyi, Angela Kizigha na mwisho Msemaji wa CCM, Christopher Sendeka.

 Mwenyekiti wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere, akiwasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kuongoza msafara wa wabunge hao kumsalimia Spika wa kwanza wa Bunge hilo, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, leo 

 Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-rose Bhanji, akiwasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, wakati msafara wa wabunge yeye na wabunge wenzake wa Bunge hilo,  walipofika kumsalimia Spika wa kwanza wa Bunge hilo, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, leo 

 Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-rose Bhanji, akiwasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, wakati msafara wa wabunge yeye na wabunge wenzake wa Bunge hilo,  walipofika kumsalimia Spika wa kwanza wa Bunge hilo, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, leo. Kulia ni Mbunge Bunge hilo, Yves Nsabimana. 

 Mwenyekiti wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere, akiteta jambo na Mbunge wa Bunge hilo, wakati wakimsubiri kuingia ukumbini, Spika wa kwanza wa Bunge hilo, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, leo  

 Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Mohammed Seif Khatib akisalimiana na Mbunge wa Bunge la Afika Mashariki Bernard Murunya, alipowasili wakati Wabunge wa Bunge hilo, walipofika  Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumbai Dar es Salaam, kumsalimia Spika wa kwanza wa Bunge hilo, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, leo. Katikati ni Adam Kimbisa. 

 Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Mohammed Seif Khatib akifurahia jambo na Makongro Nyerere wakati wakisalimiana ukumbini, kabla ya Kinana kuwasili

 Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Mohammed Seif Khatib akisalimiana na Mbunge wa Bunge la Afika Mashariki Shy-Rose Bhanji, alipowasili wakati Wabunge wa Bunge hilo, walipofika  Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumbai Dar es Salaam, kumsalimia Spika wa kwanza wa Bunge hilo, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, leo.  

 Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Mohammed Seif Khatib (kulia), akiwa na Wabunge wa Bunge la Afika Mashariki, Adam Kimbisa, Bernard Murunya, na Abdulla Mwinyi, wakati wakimsubiri Kinana kuingia ukumbini 

 Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki Yves Nsabimana na Maryam Ussi, wakibadilishana mawazo ukumbini

 Mbunge wa Afrika Mashariki Angela Kizigha akimsalimia Mbunge mwenzake wa Bunge hilo, Bernard Murunya alipowasili ukumbini

WAKATI WABUNGE HAO WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI WAKIMSUBIRI KINANA AKAPATA FURSA YA KUJINASIBU NA BENDERA YA CCM>>> 














 KINANA AKIWASILI UKUMBINI
 Spika wa kwanza wa Bunge la Afrika Mashariki, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Mweneyekiti wa Wabunge wa Bunge hilo, Makongoro Nyerere alipowasili ukumbini

 Kinana akimsalimia Shy-Rose Bhanji

 Spika wa kwanza wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungunguza na wabunge wa Bunge hilo, walipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam, ili umsalimia na kupata mawazo kutokana na uzoefu wake hasa alipokuwa Spika wa Bunge hilo la Afrika Mashariki.

 Spika wa kwanza wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungunguza na wabunge wa Bunge hilo, walipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam, ili umsalimia na kupata mawazo kutokana na uzoefu wake hasa alipokuwa Spika wa Bunge hilo la Afrika Mashariki. 

 ukumbini

 Spika wa kwanza wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiwa katika picha ya pamoja baada ya kuzungunguza na wabunge wa Bunge hilo, walipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam, ili umsalimia na kupata mawazo kutokana na uzoefu wake hasa alipokuwa Spika wa Bunge hilo la Afrika Mashariki.

 Shy-Rose Bhanji akimshukuru Kinana.

 Kisha akapozi naye kwa picha ya kumbukumbu

 Halafu akapozi na Msemaji wa CCM, Ole Sendeka

 Baadaye tena akajipiga selfie, akiwa na Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Zakia Meghji

 Spika wa kwanza wa Bunge la Afrika Mashariki, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiagana na Makongoro Nyerere

 Spika wa kwanza wa Bunge la Afrika Mashariki, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiagana na Twaha Tasilima. (PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO-the Nkoromo Blog)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SPIKA WA KWANZA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI, KATIBU MKUU WA CCM, ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA WABUNGE WA BUNGE HILO LEO.
SPIKA WA KWANZA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI, KATIBU MKUU WA CCM, ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA WABUNGE WA BUNGE HILO LEO.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhGdQ7-bepZh1Q3t3cDdVbbk1ntsBTcKCa0MTvRTnmofYm9AwtmxtpMp9iO8bvZ0gJ78cz_HDaRDuJK5JMTAmmR2oSWDX0PpPRmozdXA0oHVOHYKMtzz4i75GnE5wePh_FAN_3GNyMzt1Fy/s320/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhGdQ7-bepZh1Q3t3cDdVbbk1ntsBTcKCa0MTvRTnmofYm9AwtmxtpMp9iO8bvZ0gJ78cz_HDaRDuJK5JMTAmmR2oSWDX0PpPRmozdXA0oHVOHYKMtzz4i75GnE5wePh_FAN_3GNyMzt1Fy/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/spika-wa-kwanza-wa-bunge-la-afrika.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/spika-wa-kwanza-wa-bunge-la-afrika.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy