SERIKALI YA KUWAIT YAAHIDI KUISAIDIA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE (JKCI) VIFAA TIBA
HomeJamii

SERIKALI YA KUWAIT YAAHIDI KUISAIDIA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE (JKCI) VIFAA TIBA

Balozi wa Kuwait Nchini Mhe. Jasem Al Najem akimkabidhi zawadi ya dawa   Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya...

MCHUNGAJI JOYCE NKONE KUFANYA KONGAMANO LA WANAWAKE JAN 27, 2018 VCCT- MBEZI BEACH 'A', DAR
JAFO AFURAHISHWA NA KASI YA MRADI WA DMDP
ISRAEL, UJERUMANI KUEMDELEA KUISAIDIA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE ILI WATANZANIA WENHGI ZAIDI HUSUSAN WATOTO WANAPATA HUDUMA BORA ZA MATIBABU





Balozi wa Kuwait Nchini Mhe. Jasem Al Najem akimkabidhi zawadi ya dawa   Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi ambazo zitatumika kwa wagonjwa wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Magonjwa yasiyoambukiza kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto Prof. Ayoub Magimba na Kulia ni Daktari Bingwa wa Moyo Peter Kisenge. (PICHANA ANNA NKINDA WA JKCI)


Balozi wa Kuwait Nchini Mhe. Jasem Al Najem akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) leo jijini Dar es Salaam ili kuona ni jinsi gani nchi yake itakavyoisaidia Taasisi hiyo. Kulia kwa Balozi ni  Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Prof. Mohamed Janabi.
 


Balozi wa Kuwait Nchini Mhe. Jasem Al Najem akiongea jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi wakati balozi huyo alipotembelea Taasisi hiyo na kuahidi kuisaidia vifaa vya kutunzia damu na kununua vifaa kwa ajili ya upasuaji wa moyo katika chumba cha upasuaji. Kulia ni Daktari Bingwa wa Moyo  Peter Kisenge.


Balozi wa Kuwait Nchini Mhe. Jasem Al Najem akimpa zawadi ya gari na ndege ya kuchezea Mtoto Jumanne Mndeme ambaye amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya matibabu ya moyo huku Mama yake Jumanne akishuhudia.


Daktari Bingwa wa Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)  Peter Kisenge akimuelezea takwimu za upasuaji wa wagonjwa wa Moyo zinazofanywa na Taasisi hiyo Balozi wa Kuwait Nchini Mhe. Jasem Al Najem (kushoto). Wapili kulia ni Dkt. Barjces Almutairi kutoka Mfuko wa Kusaidia wagonjwa wa nchini Kuwait akifuatiwa na Daktari Bingwa wa Moyo  Tulizo Shemu Sanga.


Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiongea jambo na Balozi wa Kuwait Nchini Mhe. Jasem Al Najem wakati balozi huyo alipotembelea Taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam ili kuona namna  gani nchi yake inaweza kusaidia vifaa tiba.


Balozi wa Kuwait Nchini Mhe. Jasem Al Najem akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete na Ubalozi wa Kuwait mara baada ya kumalizika kwa ziara yake aliyoifanya katika Taasisi hiyo. Kulia kwa Mhe. Balozi ni Mkurugenzi Mtendaji JKCI Prof. Mohamed Janabi
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SERIKALI YA KUWAIT YAAHIDI KUISAIDIA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE (JKCI) VIFAA TIBA
SERIKALI YA KUWAIT YAAHIDI KUISAIDIA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE (JKCI) VIFAA TIBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhnPF_ZO9JO7EDzXCtOs3TWmWdEXfig3ZNDkCi8JCB1xryI1NnyViAEyFnMJiw7u383tA7fhPHgpoAdytfeHjzIRN6-cq0wpeDDOYBBk88VsbG39OhcO8QhonJiYCdiSIHTYuZvRzpFTXI/s640/Picha+no.7.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhnPF_ZO9JO7EDzXCtOs3TWmWdEXfig3ZNDkCi8JCB1xryI1NnyViAEyFnMJiw7u383tA7fhPHgpoAdytfeHjzIRN6-cq0wpeDDOYBBk88VsbG39OhcO8QhonJiYCdiSIHTYuZvRzpFTXI/s72-c/Picha+no.7.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/serikali-ya-kuwait-yaahidi-kuisaidia.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/serikali-ya-kuwait-yaahidi-kuisaidia.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy