MATUKIO BUNGENI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Esther Bulaya na Mbunge kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Machano wakiingia bungeni Dodoma leo...







Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Esther Bulaya na Mbunge kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Machano wakiingia bungeni Dodoma leo. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)


 Naibu Spika, Dk. Tulia Akson akizungmza na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiku baada ya kusitisha Bunge kwa ajili ya mapumziko mchana wa leo.




 Wabunge wakijadiliana jambo walipokuwa wakiingia bungeni Dodoma.










 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe Mwakang'ata (kulia), akijadiliana jambo na Mbunge wa Viti Maalumu, Joyce Sokombi kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma.


 Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigangwallah akijibu maswali ya wabunge.


 Mbunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Iringa, Ritta Kabati (kushoto) akiwa na Mbunge wa Viti Maalumu, Oliva



 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akizungumza na Mbunge  wa Newala Vijijini, George Mkuchika

 Wanafunzi wa Shule ya ADC NARCO ya wailayani Kongwa wakiwa bungeni Dododma kuona mwenendo wa bunge hilo



Spika wa Bunge, Job Ndugai akiwasihi wabunge kuwa na tabia ya kuheshimiana baada ya Mbunge wa Mbozi, Haonga kumwambia yeye amekula maharage gani kiasi kwamba hawaoni kuwapa nafasi ya kuchangia hoja wabunge wanaokaa nyuma.


 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Watu Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, akitangaza bungeni, Dodoma, kutengua baadhi ya kanuni ili mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge, marehemu Samuel Sitta uingie bungeni leo kwa ajili ya kuagwa na wabunge. Kulia ni Mwansheria Mkuu wa Serikali, George Masaju.



 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anjelina Mabula (kulia) na Mbunge wa Viti Maalum, Dkt. Mary Mwanjelwa wakiingia bungeni




COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MATUKIO BUNGENI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
MATUKIO BUNGENI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjf8iWXcuIXhc-UTOU-AHjr-uqBaADwdf6NnnJy7M7wX8dRfs2J82v4QSDj8cFTlK1gjn_ioJMGuwjWbVSXT1IQetvh52DeSWkFPA4CJ9NLhEjlmYA8PMPv12fyJzE6omqdZpvFYmQufUw/s640/01.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjf8iWXcuIXhc-UTOU-AHjr-uqBaADwdf6NnnJy7M7wX8dRfs2J82v4QSDj8cFTlK1gjn_ioJMGuwjWbVSXT1IQetvh52DeSWkFPA4CJ9NLhEjlmYA8PMPv12fyJzE6omqdZpvFYmQufUw/s72-c/01.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/matukio-bungeni-kutoka-bungeni-mjini.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/matukio-bungeni-kutoka-bungeni-mjini.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy