WAKAZI WA MWANZA WATAKIWA KUITUMIA KAMPUNI YA MWANA  KWA ULINZI WAO
HomeJamii

WAKAZI WA MWANZA WATAKIWA KUITUMIA KAMPUNI YA MWANA KWA ULINZI WAO

Kampuni ya Mwana (Mwana Company Ltd) ni Kampuni mpya inayojishughulisha na ufungaji wa vifaa vya ulinzi vya kisasa, lengo likiwa...

SATF YAICHANGIA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) SHILINGI MILIONI 10 KWA AJILI YAUPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO WATANO
VIONGOZI WA DINI WAKEMEA UKATILI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA
VIDEO: BUNGE LA WATOTO LAVUTIA WENGI MKOANI MWANZA.







Kampuni ya Mwana (Mwana Company Ltd) ni Kampuni mpya inayojishughulisha na ufungaji wa vifaa vya ulinzi vya kisasa, lengo likiwa ni kuimarisha ulinzi katika maeneo ya biashara pamoja na makazi ya watu.

Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Mwanakwetu Leonard, amesema ni wakati mwafaka kwa wakazi na wafanyabiashara wa Jiji la Mwanza, kuhudumiwa na kampuni ya Mwana, ili kuimarisha ulinzi wao kwa njia mbalimbali ikiwemo kamera, fensi za umeme pamoja na kengele za tahadhari.

"Tuna vifaa vya kisasa ambavyo vinamuwezesha mteja wetu kuangalia kila ulinzi wa eneo lake kupitia simu ya mkononi hata akiwa akiwa mbali ikiwemo nje ya nchi". Amesema Mwana.
Na BMG
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mwana, Mwanakwetu Leonard (kulia), akiwa na Mhariri wa Lake Fm Mwanza, Amos Gomba (kushoto), kwenye ofisi yake iliyopo Mtaa wa Uhuru karibu na Vizano Hotel Jijini Mwanza.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mwana, Mwanakwetu Leonard, akikagua baadhi ya mikataba ya wateja wake. Wasiliana naye kwa nambari 0754963333
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mwana, Mwanakwetu Leonard (kulia), akikabidhiana baadhi ya taarifa za kampuni hiyo na mwanahabari/blogger George Binagi (kushoto).
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAKAZI WA MWANZA WATAKIWA KUITUMIA KAMPUNI YA MWANA KWA ULINZI WAO
WAKAZI WA MWANZA WATAKIWA KUITUMIA KAMPUNI YA MWANA KWA ULINZI WAO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhXLui1LfTDOfz4xk3I7MDW5GFotZwpTYnuMYcD0wnZk-wNhSy90n2HCB2rAs9TWGFGih52Ae6QlgixMZwKA7mdJjrYMqwu59gEVJi7nPA0NRXpyfEhkyMYRRMPoSEskun5-8srFWy2JX0/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhXLui1LfTDOfz4xk3I7MDW5GFotZwpTYnuMYcD0wnZk-wNhSy90n2HCB2rAs9TWGFGih52Ae6QlgixMZwKA7mdJjrYMqwu59gEVJi7nPA0NRXpyfEhkyMYRRMPoSEskun5-8srFWy2JX0/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/10/wakazi-wa-mwanza-watakiwa-kuitumia.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/wakazi-wa-mwanza-watakiwa-kuitumia.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy