SIKU YA AFYA VIJIJINI YAFANYIKA WILAYA YA KUSINI UNGUJA.

 Wananchi mbalimbali wakiwa wamekaa katika vivuli kwa kusubiri matibabu mbalimbali yanayotolewa na Madaktari katika Siku y...






 Wananchi mbalimbali wakiwa wamekaa katika vivuli kwa kusubiri matibabu mbalimbali yanayotolewa na Madaktari katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
 
 
 Afisa wa Afya Wilaya ya Kusini Ali Mohd Haji akitoa vipande kwa ajili ya kupata huduma kwa madaktari katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
 
 
 Afisa wa afya anaeshughulika na utoaji wa Dawa  Omari Kibuyu Khamisi akimpatia mwananchi wa Kijiji cha Jambiani dawa katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
 
 
 Afisa mratibu wa Kifua Kikuu na Maradhi ya Ukoma Wilaya ya Kusini Karim Chwaya akitoa huduma katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
 
 
 Daktari wa Macho kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja Maulid Abdu Maulid akitoa huduma katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
 
 
 Daktari wa Huduma ya akina Mama na Watoto kutoka kituo cha Afya Paje Nunuu Ali Makame akitoa mafunzo kwa akina Mama katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
 
 
Daktari Bingwa wa huduma ya XRAY na Mionzi (Radiologist) Lyu Chang An akifanya uchunguzi wa XRAY katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini.
 
 
 Daktari Bingwa wa maradhi ya Masikio Dk. Fei akimfanyia uchunguzi Bi Bahati Pandu kutoka kijiji cha Bwejuu  katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini.
 
 
Daktari dhamana Wilaya ya Kusini Dk. Maulid Abdallah akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na matibabu mbalimbali yanayotolewa katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini 
(PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SIKU YA AFYA VIJIJINI YAFANYIKA WILAYA YA KUSINI UNGUJA.
SIKU YA AFYA VIJIJINI YAFANYIKA WILAYA YA KUSINI UNGUJA.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiy987uF79pDPyI-A-obCdkdFyal7s1tYQNPBNC4AHGOH6Ml8msuIoDkQnjDo3pFO8-l8pWlLXwND7x3wR3JJrT7-DiCSzQDcrvyEP7qt9pijg9Jho4jwHBrkmjZ8PGqL_ZODUDR8_vYZ8/s640/DSC_0086.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiy987uF79pDPyI-A-obCdkdFyal7s1tYQNPBNC4AHGOH6Ml8msuIoDkQnjDo3pFO8-l8pWlLXwND7x3wR3JJrT7-DiCSzQDcrvyEP7qt9pijg9Jho4jwHBrkmjZ8PGqL_ZODUDR8_vYZ8/s72-c/DSC_0086.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/10/siku-ya-afya-vijijini-yafanyika-wilaya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/10/siku-ya-afya-vijijini-yafanyika-wilaya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy