Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wananchi wa Chalinze Mkoani Pwani leo Octoba 15, 2016 alipokua njiani ...
Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wananchi wa Chalinze
Mkoani Pwani leo Octoba 15, 2016 alipokua njiani kuelekea Mkoani Dodoma
kuanza ziara ya kikazi ya siku nne.
Makamu
wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa MlandiziMkoa wq
Pwani leo Octoba 15, 2016 alipokua njiani kuelekea Mkoani Dodoma kuanza
ziara ya kikazi ya siku nne.![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhDl9q7aTXO_USbbkr-cX03nJymJQ6k7XkLUrPxtkfQ5HP5-i7meYuBFArXP6Cjbal1RtqBecQv45v0SAA-pztnXsRk4GkONsdKmFJsrTi-7xawdGq2VLElK6nzOn5tpqM9QfMi8AB7X8w/s640/J.jpeg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhDl9q7aTXO_USbbkr-cX03nJymJQ6k7XkLUrPxtkfQ5HP5-i7meYuBFArXP6Cjbal1RtqBecQv45v0SAA-pztnXsRk4GkONsdKmFJsrTi-7xawdGq2VLElK6nzOn5tpqM9QfMi8AB7X8w/s640/J.jpeg)
Baadhi
ya Wananchi wakimsikiliza Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan
alipokuwa akiwahutubia,maeneneo ya Mlandizi Mkoa wa Pwani leo Octoba
15, 2016 alipokua njiani kuelekea Mkoani Dodoma kuanza ziara ya kikazi
ya siku nne.
COMMENTS