ZAIDI ya Shilingi Milioni 502.6 zimekusanywa, jana jijini Dar es Salaam katika matembezi maalum ya kuchagia waathirika wa t...
ZAIDI
ya Shilingi Milioni 502.6 zimekusanywa, jana jijini Dar es Salaam
katika matembezi maalum ya kuchagia waathirika wa tetemeko la ardhi
mkoani Kagera. Matembezi hayo kilometa 5 yaliongozwa na Rais Mstaafu awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (wa pili
kushoto). Wengine kutoka kushto ni Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Augustine Mahiga, Mbunge wa Muleba,
Profesa Anna Tibaijuka, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi na Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Susan Kolimba.
Rais Mstaafu awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi akianzisha matembezi hayo.
Washiriki waki-jiselfier kabla ya kuanza matembezi hayo.
Wafanyakazi
wa Kampuni ya Magazeti ya serikali TSN, wachapaji wa magazeti ya Daily
News, Habarileo na Spotileo wakipozi kwa picha.
Washiriki wakijiandikisha tayari kwa kushiriki maandamano hayo.
Iran ni miongoni mwa nchi zilizounga mkono matembezi hayo.
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadj Mussa Salum akitafakari kabla ya kuanza matembezi hayo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasilino na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mindi Kasiga akipiga picha.
Father
Kidevu naye ni miongoni mwa walioshiriki wa matembezi hayo, hapa akiwa na
Prof Anna Tibaijuka na Balozi Liberata Mulamula (kulia) wakipasha.
Kupasha moto viungo. BOFYA HAPA KUONA MATUKIO ZAIDI.
COMMENTS