Shiza Kichuya wa Simba (kushoto), akijaribu kuwatoka walinzi wa JKT-Ruvu kwenye pambano la soka ligi kuu ya Ta...
Shiza
Kichuya wa Simba (kushoto), akijaribu kuwatoka walinzi wa JKT-Ruvu
kwenye pambano la soka ligi kuu ya Tanzania Bara kwenye uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam, Agosti 27, 2016. Timu hizo zilitoka sare ya bila
kufungana. (PICHA NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID).
Mlinzi wa kati wa Ruvu JKT, "akiosha" mpira mbele ya washambualiaji hatari wa Simba, Laudit Mvugo (kushoto) na Ibrahim Ajib.
Kipa wa Ruvu JKT, Michael Aidan, akiukamata mpira huo mbele ya mklinzi wake.
Moja ya mipira hatari iliyoelekezwa kwenye lango la Ruvu JKT.
Laudit Mavugo, (kushoto), wa Simba,
akichuana vikali na mlinzi wa JKT Ruvu, kwenye pambano la soka ligi kuu
ya Tanzania bara kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jioni hii
Agosti 27, 2016. Timu hizo zimekwenda sare ya bila kufungana.
Mshambuliaji wa Simba, Frederick
Blagnon, akichupa kupiga kichwa mpira wa kross kwenye llango la JKT Ruvu
kwenye pambano la soka ligi kuu ya Tanzania bara kwenye uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam, Agosti 27, 2016. Timu hizo zilitoka sare ya bila
kufungana.
Kikosi cha Simba kilichomenyana na JKT-Ruvu jioni hii kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kikosi cha Ruvu- JKT, kilichomenyana na
Simba kwenye pambano la ligi kuu soka Tanzania bara kwenye uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam na kutoka sare ya bila kufungana.
COMMENTS