MKURUGENZI WA IDARA YA UTAMADUNI AZINDUA KITABU CHA KAMUSI YA UKRISTO

 Kaimu Mkurugenzi Idara ya Utamaduni, Lily Beleko (katikati) kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo aki...






 Kaimu Mkurugenzi Idara ya Utamaduni, Lily Beleko (katikati) kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akizindua Kitabu cha Kamusi ya Ukristo katika hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam. kulia ni Mhadhiri Chuo Kikuu Katoliki (WEA) Nairobi na Mhariri Mkuu wa Kampuni ya Uchapishaji ya Gaba Publications , Padri, Dk. Jordan Nyenyembe  ambaye ndie mtunzi wa kitabu hicho na Padri Ubaldus Kidavuri  
 
 Kaimu Mkurugenzi Idara ya Utamaduni, Lily Beleko kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akizungumza jambo kabla ya Uzinduzi wa Kitabu cha Ukristo katika Ukumbi wa Baraza la Maaskofu Dar es Salaam
 
 
 Mkurugenzi wa Mkuki na Nyota Publishers, Walter Bgoya akizungumza jambo kabla ya uzinduzi wa kitabu cha Ukristo.
 
 
 Katibu Mtendaji Baraza la Kiswahili  la Taifa (BAKITA), Dk. Selemani Sewangi akionesha kitabu hicho kwa wadau na kwa waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya Uzinduzi huo wa kitabu cha Kamusi ya Ukristo kilicho zinduliwa na  Kaimu Mkurugenzi Idara ya Utamaduni, Lily Beleko kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
 
***********

Na Khamis Mussa SERIKALI inawashauri viongozi wa dini nchini  kuendelea kutafsiri maneno magumu ya kidini  ili kuepusha chuki, vurugu, ghasia na mapigano  katika jamii.
Kauli hiyo ya  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ililisomwa na Kaimu Mkurungezi wa Maendeleo ya Utamaduni, Lilly Beleko katika uzinduzi wa ‘Kamusi ya Ukristo’ jijini Dar es Salaam .
Alisema kuzinduliwa kwa kamusi itahamasisha na kurahisisha uelewa wa vitabu na maandiko kwa usahihi na ufasaha kwa jamii na kuleta upendo, Utulivu na Amani.
“Lugha yetu ya Kiswahili ni chombo muhimu cha mawasiliano ambachokimekuwa kiungo cha kuimarisha umoja, Amani na uzalendo, hivyo lazima tukiendeleze,” alisema.
Alisema serikali itaendelea kuunga mkono juhudi za  za kukuza na kuendeleza lugha ya Kiswahili na kuthamini  wanataaluma na wadau wa harakati za kutetea hadhi ya Kiswahili.
Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Padre Abadius Kidavule alisema ni mara ya kwanza Tanzania ndani ya Kanisa Katoliki kuzinduliwa Kamusi ya Ukristo.
“Ni jambo la  kujivuni  kuzindua kamusi, hivyo watanzania wanapaswa kukinunua ili wajisomee,” alisema.
Mwandishi wa Kanusi hiyo, Dk.Jordani N yenyembe alisema watanzania tumefanya makossa kutopenda kusoma vitatu, hali imesabisha kupatikana waandishi wachache wa vitatu.
“Wengi hawapendi kukosomewa  na wakikosolewa kutokana na uandishi wao, hususa kuandika  mimi naendelea kuandika nahitaji kukolewa kwenye kamusi hii,” alisema

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MKURUGENZI WA IDARA YA UTAMADUNI AZINDUA KITABU CHA KAMUSI YA UKRISTO
MKURUGENZI WA IDARA YA UTAMADUNI AZINDUA KITABU CHA KAMUSI YA UKRISTO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEho5cWSTJlFx6JOin3HN4RYLmpjhGp3_JOzb-_1sVNhKVsCsbhc7H4QAAZ0s5jeNMHDP2C27IeHU-0CXC8Q7LI4ur61qPDwl1556GQyoYdaqnuyzGAN_KVXiFWKIWxNBnVJOJlSQ8F7z058/s640/2+%25286%2529.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEho5cWSTJlFx6JOin3HN4RYLmpjhGp3_JOzb-_1sVNhKVsCsbhc7H4QAAZ0s5jeNMHDP2C27IeHU-0CXC8Q7LI4ur61qPDwl1556GQyoYdaqnuyzGAN_KVXiFWKIWxNBnVJOJlSQ8F7z058/s72-c/2+%25286%2529.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/08/mkurugenzi-wa-idara-ya-utamaduni.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/08/mkurugenzi-wa-idara-ya-utamaduni.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy