SEHEMU ya wageni mbalimbali wakiingia na wengine wakitoka kutembelea mabanda ya mali asili na Utalii kwenye viwanja vya Mwalimu J.K...
SEHEMU ya wageni mbalimbali wakiingia na wengine wakitoka kutembelea mabanda ya mali asili na Utalii kwenye viwanja vya Mwalimu J.K Nyerere Dar es Salaam leo. |
Maofisa wa Mali Asili na Utalii wakiwahudumia wageni waliofurika kwenye mabanda yao. |
Afisa Mkuu wa Misitu Charles Ng'atingwa akiwafafanulia jambo wageni waliotembelea moja ya banda kwenye maonesho hayo. |
Wageni waliotembelea moja ya banda kwenye maonesho hayo. |
Afisa wa Maliasili na Utalii, Munir Shellimoh akiwafafanulia jambo wageni waliotembelea moja ya banda kwenye maonesho hayo. |
Mmoja wa wageni akiangalia kumbukumbu za historia ya mawaziri waliwahi kuhudumu katika wizara ya Mailiasili na Utalii. |
Afisa wa Maliasili na Utalii, Deogratius Kahwa akiwafafanulia jambo wageni waliotembelea moja ya banda kwenye maonesho hayo. |
Afisa wa Maliasili na Utalii, Deogratius Kahwa akiwafafanulia jambo wageni waliotembelea moja ya banda kwenye maonesho hayo. |
Mhandisi Righton John na Afisa Masoko wa Air Tanzania, Lily Fungamtama wakiwawapa maelezo wageni waliotembelea banda la Maliasili na Utalii, kwenye maonesho hayo. |
Afisa wa Maliasili na Utalii, Abdallah Mnongwa akiwafafanulia jambo wageni waliotembelea moja ya banda kwenye maonesho hayo. |
(Imeandaliwa na Robert Okanda www.robertokanda.blogspot.com) |
COMMENTS