Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu , (LHRC), Dk. Helen Kijo B is imba, (wapili kulia), akiwa na Mku r ...
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, (LHRC), Dk. Helen Kijo Bisimba, (wapili kulia), akiwa na Mkurugenzi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji,
Alfred R. Mapunda)watatu kushoto) na wajumbe wa Bodi ya HLRC,
akionyesha ripoti ya Haki za Binadamu na Biashara ya mwaka 2015 kwenye
hoteli ya Hayyat Regency, zamani Kilimanjaro Hoteli jijini Dar es Salaam, Julai 28, 2016.
(PICHA NA RASHID ZUBERI)
Baadhi ya
wageni mbalimbali pamoja na waandishi wa habari walio hudhulia uzinduzi huo
Mwenyekiti
wa tume ya Haki za kibinaadamu LEGAL AND HUMAN RIGHTS CENTRE (LHRC)
Dk.Helen Kijo (Bi.Simba) akimsikiliza Alfred R. Mapunda Mkulugenzi wa
Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
Kaimu Mkurugenzi, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Alfred R. Mapunda akizungumza katika uzinduzi huo
Mwenyekiti
wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, (LHRC), Dkt. Hellen Kijo Bisimba, akizungumza na waandishi wa habari
Picha ya pamoja
COMMENTS