Kaanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Siro, akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari kw...
Kaanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar
es Salaam, Simon
Siro, akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari kwenye kituo
kikuu cha kati cha Polisi jijini Dar es Salaam leo Juni 27, 2017 huku
akionyesha bomulakurusha kwa mkono (Hand Grenade) alilokutwa nalo
mtuhumiwa wa mauaji ya msikitini jijiniMwanza hivi Karibuni. Kamanda
Siro alisema, mtuhumiwa huyo ameuawa wakati polisi walipokuwa wakijaribu
kumkamata nyumbani kwake huko Chamazi nje kidogo ya jiji, baada ya
kujaribu kuwatupia bomu askari. (PICHA NA RASHID ZUBERI)
Bomu alilokutwa nalo mtuhumiwa wa
mauaji ya msikitini jijini Mwanza. Mtuhumiwa alikutwa huko Chamazi nje
kidogo ya jiji la Dar es Salaam leo asubuhi nyumbani kwake Juni 27, 2017
Bomu, bastola na risasi, zilizokamatwa na polisi wakati wa purukushani
ya kumtia mbaroni mtuhumiwa wa mauaji ya waumini wa dini ya Kiislamu
jijini Mwanza hivi karibuni. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Kanda
Maalum ya Dar es Salaam, Simon Siro, watuhumiwa wawili akiwemo pia
aliyesababisha mauaji huko jirani na mapangoya Amboni mkoaniTanga wameuawa katika majibizano ya risasi na polisi.
Kaanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es
Salaam, Simon Siro, akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari
kwenye kituo kikuu cha kati cha Polisi jijini Dar es Salaam leo Juni 27,
2017
Bomu, bastola na risasi, zilizokamatwa
na polisi wakati wa purukushani ya kumtia mbaroni mtuhumiwa wa mauaji
yawaumini wa dini ya Kiislamu jijini Mwanza hivi karibuni. Kwa mujibu wa
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Siro, watuhumiwa
wawili akiwemo pia aliyesababisha mauaji huko
COMMENTS