Mkuu wa wilaya ya Arumeru,Wilson Nkambaku aliyemwakilisha Mkuu wa mkoa wa Arusha akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya ...
Mkuu
wa wilaya ya Arumeru,Wilson Nkambaku aliyemwakilisha Mkuu wa mkoa wa
Arusha akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira duniani
ambayo kimkoa yamefanyika leo katika Shule ya Msingi Kiranyi.Ameagiza
wananchi wote walijenga kwenye eneo lilitengwa kwaajili ya chanzo cha
maji wabomoe wenyewe.
Mtendaji Mkuu wa Mamkala ya Mji Mdogo wa Ngaramtoni,Sophia Shoko akizungumza jambo katika maadhimisho hayo.
Diwani
wa Kata ya Kiranyi ,halmashauri ya wilaya Arusha DC,John Seneu
alikiwataka wananchi kutii sheria ili kulinda vyanzo vya maji.
Mkuu
wa wilaya ya Arumeru,Wilson Nkambaku(katikati) aliyemwakilisha Mkuu wa
mkoa wa Arusha akifurahia jambo na Katibu Tawala mkoa(RAS),Richard
Kwitega(kulia) kushoto Katibu Tawala Msaidizi huduma za Afya,Hargeney
Chitukulo.
Wanafunzi
wa Shule ya Msingi ya Serikali ya mchepuo wa Kiingereza ya Arusha
School wakiimba Shairi lao lenye kuhamasisha utunzaji wa mazingira na
kupanda miti.
Baadhi ya viongozi kutoka halmashauri ya Arusha DC wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mkuu wa wilaya.
Baadhi
ya viongozi kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa wa Arusha wadau wa taasisi
binafsi na wananchi kwa pamoja wameshiriki kikamilifu Siku ya mazingira
duniani.
Baadhi ya mabalozi wa taasisi ya vijana wa Umoja wa Mataifa(UN)walioshiriki maadhimisho hayo katika Shule ya Msingi Kiranyi.
Katibu Tawala(RAS)mkoa wa Arusha,Richard Kwitega akipanda mti katika maadhimisho ya siku ya mazingira leo.
Mrembo Morine Ayub Mollel ambaye ameshinda taji la Miss Arusha akipanda mti kwenye bustani ya Shule ya Msingi Kiranyi.
COMMENTS