NAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO AFUNGUA KIKAKO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI SEKTA YA UCHUKUZI

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani, akitoa hotuba yake katika mkutano wa baraza la Wafanyak...








Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani, akitoa hotuba yake katika mkutano wa baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Uchukuzi, linalofanyika Katika Ofisi za Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).
 
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani (kulia), akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Sekta ya Uchukuzi, Dkt. Leornard  Chamuriho, kabla ya ufunguzi wa mkutano wa baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Uchukuzi, linalofanyika Katika Ofisi za Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).
 
 Baadhi ya Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, wakitambulishwa katika mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa sekta hiyo.
 
Wajumbe wa Mkutano wa baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Uchukuzi, wakimsikiliza, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani(hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mkutano wa baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Uchukuzi.
 
Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa Sekta ya Uchukuzi, Bw. Gabriel Migire, akiwasilisha mada kwenye mkutano wa baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Uchukuzi.
 
Meneja wa Kituo cha TCAA, Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Bw. John Chambo akimwonyesha Naibu Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani( kushoto), ramani inayoonyesha njia za ndege, wakati alipotembelea ofisni hapo.
 
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani (wa tatu kutoka kulia mstari wa kwanza), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa baraza la Wafanyakazi wa Sekta ya Uchukuzi, linalofanyika Katika Ofisi za Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).
 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO AFUNGUA KIKAKO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI SEKTA YA UCHUKUZI
NAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO AFUNGUA KIKAKO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI SEKTA YA UCHUKUZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhVwYImVemZD8IZhYaUrvUza-CgxNipTIVDKvYN9Lleb6w4Jvwi1BGOZbkkgZL8WK6V1_RiNpHRdqThNhTW8NfxOEH1a5xW22q8VEXkZQNeHhrpdB6Ocp63biBybUxJilnUXDZwSlijPoMi/s640/DSC_6710.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhVwYImVemZD8IZhYaUrvUza-CgxNipTIVDKvYN9Lleb6w4Jvwi1BGOZbkkgZL8WK6V1_RiNpHRdqThNhTW8NfxOEH1a5xW22q8VEXkZQNeHhrpdB6Ocp63biBybUxJilnUXDZwSlijPoMi/s72-c/DSC_6710.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/04/naibu-waziri-wa-ujenzi-uchukuzi-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/04/naibu-waziri-wa-ujenzi-uchukuzi-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy