Kamishna Mkuu Mstaafu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Harry Kitilya (wa pili kushoto) na wenzake Shose Sinare na Sioi S...
Kamishna
Mkuu Mstaafu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Dkt. Harry Kitilya na
wenzake Shose Sinare na Sioi Solomoni wamefikishwa katika Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaamu
leo wakikabiliwa na mashitaka 8 ikiwemo tuhuma za kujipatia fedha kiasi
cha Dola za Marekani milioni 6, mwezi Machi mwaka 2013, ili kufanikisha
mkopo kutoka Benki ya Stanbic kwenda serikalini.
Watuhumiwa
hao wamekana makosa na kurudishwa rumande hadi April 8, 2016 kesi yao
itakapo somwa tena na Mahakam kuweka wazi juu ya suala la dhamana.
COMMENTS