KAMATI YA BUNGE YA VIWANDA NA BIASHARA NA MAZINGIRA YATEMBELEA KIWANDA CHA TBL MOSHI

KAMATI YA BUNGE YA VIWANDA NA BIASHARA NA MAZINGIRA YATEMBELEA KIWANDA CHA TBL MOSHI

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge inayohusika na Viwanda, Biashara na Manzigira, Dk Dalaly Kafumu na Makamu wake, Vicky Kamata wa...








Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge inayohusika na Viwanda, Biashara na Manzigira, Dk Dalaly Kafumu na Makamu wake, Vicky Kamata wakimsikiliza Meneja wa Mawasiliano wa kampuni ya Bia nchini (TBL) Emma Oriyo  wakati wa ziara hiyo.
 
Meneja wa kiwanda cha kusindika Kimea cha kampuni ya Bia cha Moshi,Vitus Mhusi akiwasilisha mada kuhusu  kiwanda hicho wakati wa ziara ya wabunge wa Kamati ya Viwanda,Biashara na Mazingira mjini Moshi mwishoni mwa wiki. Kushoto  ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dk Dalaly Kafumu na Makamu wake, Vicky Kamata.
 
Meneja wa kiwanda cha kusindika Kimea cha kampuni ya Bia cha Moshi,Vitus Mhusi akiwasilisha mada kuhusu  kiwanda hicho wakati wa ziara ya wabunge wa Kamati ya Viwanda,Biashara na Mazingira mjini Moshi mwishoni mwa wiki. Kushoto  ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dk Dalaly Kafumu na Makamu wake, Vicky Kamata.
 
Meneja wa kiwanda cha kusindika Kimea cha kampuni ya Bia cha Moshi,Vitus Mhusi akiwasilisha mada kuhusu  kiwanda hicho wakati wa ziara ya wabunge wa Kamati ya Viwanda,Biashara na Mazingira mjini Moshi mwishoni mwa wiki.
Wabunge wakipata maelezo ya  usindikaji kimea kutoka kwa Mkuu wa idara ya Ubora wa kiwanda hicho,Theotime Tengio(kulia) wakati wa ziara ya wabunge hao.
 Wabunge wakitembele maeneo mbalimbali ya kiwanda.
 
Wabunge wakitembelea maeneo mbalimbali ya kiwanda.
 
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAMATI YA BUNGE YA VIWANDA NA BIASHARA NA MAZINGIRA YATEMBELEA KIWANDA CHA TBL MOSHI
KAMATI YA BUNGE YA VIWANDA NA BIASHARA NA MAZINGIRA YATEMBELEA KIWANDA CHA TBL MOSHI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh9JU6vnbeFE-eOuddU2TKCKxudTYq58KqDZ2D6MpJwywhSzWZSLhyphenhyphenGAXmYTYlCa3Ho2_wW1Tpw1z5v6nbdvpT33HpH0l9GssDeQIJeAemx7wZH9LaafWA7fN3cs-FLxdgLNoswhI-v5_4g/s640/bunge+moshi+1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh9JU6vnbeFE-eOuddU2TKCKxudTYq58KqDZ2D6MpJwywhSzWZSLhyphenhyphenGAXmYTYlCa3Ho2_wW1Tpw1z5v6nbdvpT33HpH0l9GssDeQIJeAemx7wZH9LaafWA7fN3cs-FLxdgLNoswhI-v5_4g/s72-c/bunge+moshi+1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/04/kamati-ya-bunge-ya-viwanda-na-biashara.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/04/kamati-ya-bunge-ya-viwanda-na-biashara.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy