NMB BENKI WAKABIDHI HUNDI YA UDHAMINI WA MKUTANO MKUU WA ALAT DAR ES SALAAM

 Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Habraham Shamumoyo akiongea na waandishi wa habari Dar es Salaam...










 Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Habraham Shamumoyo akiongea na waandishi wa habari Dar es Salaam Machi 9 2016, katika hafla ya kukabidhiwa hundi ya shilingi milioni 100 kwa ajili ya udhamini wa mkutano wao mkuu wa mwaka na uchaguzi wa viongozi unaotarajiwa kufanyika mjini Dodoma Aprili 7 mpaka 9 2016. Kulia ni MKUU wa Huduma za Jumla wa Benki ya NMB Richard Makungwa na Mshauri wa Mawasiliano wa ALAT, Seif Hassan. 

MKUU wa Huduma za Jumla wa Benki ya NMB Richard Makungwa (kulia) akimkabidhi Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Habraham Shamumoyo mfano wa hundi ya shilingi milioni 100 kwa ajili ya udhamini wa mkutano wao mkuu wa mwaka na uchaguzi wa viongozi unaotarajiwa kufanyika mjini Dodoma Aprili 7-9, 2016. Makabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam Machi 9 2016.
Kushoto ni Mshauri wa Mawasiliano wa ALAT, Seif Hassan

MKUU wa Huduma za Jumla wa Benki ya NMB Richard Makungwa (kulia) akimkabidhi Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Habraham Shamumoyo mfano wa hundi ya shilingi milioni 100 kwa ajili ya udhamini wa mkutano wao mkuu wa mwaka na uchaguzi wa viongozi unaotarajiwa kufanyika mjini Dodoma Aprili 7 mpaka 9, 2016. Makabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam Machi 9 2016. (Picha na Robert Okanda)








COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NMB BENKI WAKABIDHI HUNDI YA UDHAMINI WA MKUTANO MKUU WA ALAT DAR ES SALAAM
NMB BENKI WAKABIDHI HUNDI YA UDHAMINI WA MKUTANO MKUU WA ALAT DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjozLwZf7UCTxScEOU0Utr9LtrbolFze9kVaCRPKfGJh8hyphenhypheneQ5u9iMUhbfsY0e5wjKFiYhRF1wRfMfLnHMbyyMjdrh78a7hy5Xe660ngI4hxoM-jREmIBllTrP_wOTHWWi-qZrtUuEj9igZ/s640/ALART+SG.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjozLwZf7UCTxScEOU0Utr9LtrbolFze9kVaCRPKfGJh8hyphenhypheneQ5u9iMUhbfsY0e5wjKFiYhRF1wRfMfLnHMbyyMjdrh78a7hy5Xe660ngI4hxoM-jREmIBllTrP_wOTHWWi-qZrtUuEj9igZ/s72-c/ALART+SG.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/03/nmb-benki-wakabidhi-hundi-ya-udhamini.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/03/nmb-benki-wakabidhi-hundi-ya-udhamini.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy