Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mkuu wa Taasis ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe....
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mkuu wa
Taasis ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akimtunuku shahada ya heshima ya Uzamivu (PhD) Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Mrisho Kikwete, kwa
kutambua mchango wake katika Jamii, kitaifa na kimataifa pamoja na
kufanikisha kuanzishwa kwa Taasis hiyo. Dkt Jakaya alitunukiwa Shahada
hiyo wakati wa Mahafali ya pili ya Taasisi hiyo yaliyofanyika Jijini
Arusha jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mkuu wa Taasis
ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akimtunuku shahada ya Sayansi Uhandisi na Hesabu PhD, James
Philip, wakati wa Mahafali ya 2 ya Taasis hiyo iliyofanyika jijini
Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mkuu wa
Taasis ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akihutubia kwenye Mahafali ya 2 ya Taasis ya Sayansi na
Teknolojia ya Nelson Mandela iliyofanyika jijini Arusha.
Baadhi ya wahitimu...
Baadhi ya wahitimu...
Rais
Jakaya Kikwete na Makamu wake ambaye ni Mkuu wa Taasis hiyo, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wahitimu.
Rais
Jakaya Kikwete na Makamu wake ambaye ni Mkuu wa Taasisi hiyo, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
wahitimu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mkuu wa
Taasis ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akiwa katika maandamano na viongozi wa Taasisi hiyo pamoja
na wahitimu, wakati wa Mahafali ya 2 ya Taasisi hiyo yaliyofanyika jijini Arusha. (Picha na OMR)
COMMENTS