Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea moja ya vifaa vya hospitali kutoka kwa wawakilishi wa makampuni ya Vinywaji...
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akipokea moja ya vifaa vya hospitali kutoka kwa
wawakilishi wa makampuni ya Vinywaji baridi ya Coca Cola- Kwanza, Azam
Cola na Pepsi Cola-SBC katika makabidhino yaliyofanyika kwenye maghala
ya MSD yaliyopo Mabibo jijini Dar es Salaam Februari 25, 2016. Kushoto
Mkurugenzi wa Pepsi, Avinash Jha, Dkt Reginald Mengi, Mwenyekiti Mtendaji wa IPP (wa pili kushoto) na Basil
Gadzios wa Coca cola (wa nne kushoto). (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana baadhi ya viongozi vya
makampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola- Kwanza, Azam Cola na Pepsi
Cola-SBC katika makabidhino ya vifaa vya hospitali vyenye thamani ya
shilingi Bilioni 10 yaliyofanyika kwenye maghala ya MSD yaliyopo Mabibo
jijini Dar es Salaam Februari 25, 2016. Kutoka (kushoto) ni Mkurugenzi wa
Pepsi, Avinash Jha, Dkt. Reginald Mengi ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa
IPP na Basil Gadzios wa Coca cola Kwanza. Kulia ni Katibu Mkuu wa
Wizara ya Afya, Dkt. Ulisubisya Mpoki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua baadhi ya vitanda na vifaa mbalimbali vya
hospitali vyenye thamani ya sh. bilioni 10 vilivyotolewa na kampuni za
vinywaji baidi za Coca cola- Kwanza, Azam Cola na Pepsi Cola- SBC
katika makabidhino yaliyofanyika kwenye maghala ya MSD yaliyopo Mabibo
jijini Dar es salaam Februari 25, 2016. Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa
Wizara ya Afya, Dkt. Ulisubisya Mpoki.

jijini Dar es salaam Februari 25, 2016. Kulia (kwake) ni Katibu Mkuu wa
Wizara ya Afya, Dkt. Ulisubisya Mpoki.
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akikagua baadhi ya vitanda na vifaa mbalimbali vya
hospitali vyenye thamani ya sh. Bilioni 10 vilivyotolewa na kampuni za
vinywaji baidi za Coca cola- Kwanza, Azam Cola na Pepsi Cola- SBC katika makabidhino yaliyofanyika kwenye maghala ya MSD yaliyopo Mabibo
jijini Dar es salaam Februari 25, 2016. Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa
Wizara ya Afya, Dkt. Ulisubisya Mpoki.
COMMENTS