Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikw...
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete
pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng. Evarist Welle Ndikilo wakielekea
soko kuu la Chalinze kushirikiana na wananchi kufanya usafi wa mazingira
leo Disemba 9, 2015 ikiwa ni kuadhimisha miaka 54 ya UHURU kama
ilivyoagizwa na Rais Dkt John Magufuli.
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma
Kikwete wakifanya usafi katika soko kuu la Chalinze leo Disemba 9, 2015
ikiwa ni kuadhimisha miaka 54 ya UHURU kama ilivyoagizwa na Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli.
Rais Mstaafu
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na wananchi wa Chalinze baada ya kushirikiana
nao kufanya usafi wa mazingira ya soko kuu la Chalinze leo Desemba 9,
2015 ikiwa ni kuadhimisha miaka 54 ya UHURU kama ilivyoagizwa na Rais
Dkt John Magufuli.
COMMENTS