NAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO ATOA MWELEKEO WA UTENDAJI KAZI WA WIZARA

    Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani akizungumza na watendaji wa Wizara ya Ujenzi pamoja na T...







  Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani akizungumza na watendaji wa Wizara ya Ujenzi pamoja na Taasisi zake kuhusu ufanyaji kazi kwa uadilifu kwa kuzingatia maslahi ya jamii.

 Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani akisalimiana na baadhi ya watendaji wa Wizara ya iliyokuwa ya Uchukuzi wakati alipotembelea Wizara hiyo ambayo sasa imeunganishwa na Ujenzi na Mawasiliano.

 Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani akitoa maelekezo kwa watendaji wa Wizara hiyo namna ya kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazowakabili na mikataba wanayoingia iwe kwa maslahi ya nchi.

 Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani akiweka sahihi katika kitabu cha wageni huku Katibu Mkuu wa aliyekuwa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi  na Teknolojia Bw. Yamungu Kayandabila akishuhudia.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO ATOA MWELEKEO WA UTENDAJI KAZI WA WIZARA
NAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO ATOA MWELEKEO WA UTENDAJI KAZI WA WIZARA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiNwnqbAo84_LBT5VqqyK04VT5CtINaizBzFrEmeLoy_z7uR7OSwfLx0wcexELvhbEFmO4vsOLNzjyRO9xryn67QS-nTHeZ9qB4AtmIPsTvj-PRJkJ4i73IeFDbVU5MQU-c-mLwb_710EA/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiNwnqbAo84_LBT5VqqyK04VT5CtINaizBzFrEmeLoy_z7uR7OSwfLx0wcexELvhbEFmO4vsOLNzjyRO9xryn67QS-nTHeZ9qB4AtmIPsTvj-PRJkJ4i73IeFDbVU5MQU-c-mLwb_710EA/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/12/naibu-waziri-wa-ujenzi-uchukuzi-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/12/naibu-waziri-wa-ujenzi-uchukuzi-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy