Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Kwanza wa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad wakati akiwasili katika sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja. (Picha na Ikulu ya Zanzibar)
Wanamadrasa
wakipiga dufu kukaribisha wageni na Viongozi wakati wa sherehe za Maulidi Makuu
ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa
Maisara Suleiman Mjini Unguja ambayo hufanyika kila mwaka
Ustadh
Rashid Hamadi Bakari kutoka Muungoni Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja
akisoma mlango wa kwanza wa Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad
(S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja
Kadhi
Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis alipokuwa akitia ubani kama ishara
ya kuyafungua Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W)
sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman mjini Unguja jana na
kuhudhuriwa na waislamu kutoka Mjini na Mashamba,(kushoto) Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akishuhudia
ufunguzi huo
Ustadh
Juma Seif Said Hamad kutoka Mkoa wa Kaskazini Unguja akisoama Qur'aan Tukufu
Surah Luqman Aya 33hadi 34 za ufunguzi wa Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa
Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman
Mjini Unguja
Wanafunzi
wa Madrasa mbali mbali za Zanzibar wakiwa katika sherehe za Maulidi Makuu ya
kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara
Suleiman Mjini Unguja,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akiangalia ratiba ya
Maulidi ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika
Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja akiwa Viongozi mbali mbali na
wananchi
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa
pili kulia) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis, Makamo wa Kwanza
wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad (kushoto) na Naibu Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh Hassan
Othman Ngwali pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume
Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini
Unguja
COMMENTS