POLISI WA USALAMA BARABARANI NAO WAANZA KUTEKELEZA DHANA YA "HAPA KAZI TU", WAFANYA UKAGUZI WA KITUO CHA MABASI YA MIKOANI UBUNGO

Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, PC Asha Adam, akiwasisitiza abiria kufunga mikanda  iliyopo kwenye viti walivy...



Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, PC Asha Adam, akiwasisitiza abiria kufunga mikanda  iliyopo kwenye viti walivyoketi muda wote wa safari muda mfupi kabla ya magari  kuondoka katika kituo Kikuu cha mabasi ya abiria Ubungo, jijini Dar es Salaam, leo Novemba 10, 2015 kama hatua ya kudhibiti majeraha na vifo vitokanavyo na ajali za barabarani, kuelekea kipindi cha mwisho wa mwaka

Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani,Inspekta Ibrahim Omary Samwi(kushoto), na PC Elisante Bura(kulia), wakikagua moja ya magari yanayofanya safari zake mikoani, kutekeleza mkakati wa Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani kudhibiti ajali kuelekea kipindi cha mwisho wa mwaka.Zoezi hili limefanyika  muda mfupi kabla ya magari  kuondoka katika kituo Kikuu cha mabasi Ubungo,jijini Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali ya Tanzania .


Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Inspekta Ibrahim Omary Swami (aliyeko kwenye uvungu wa gari), akikagua moja ya magari yanayojiandaa kuelekea mikoani, zoezi ambalo limefanyika muda mfupi kabla ya magari kuanza kuondoka katika kituo Kikuu cha Mabasi, Ubungo jijini Dar es Salaam. Aliyenyoosha kidole juu ni PC Elisante Bura. Hatua hii ya Jeshi la Polisi nchini  linalenga kudhibiti ajali kuelekea kipindi cha mwisho wa mwaka,.

Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani,Sajenti Jackson Mafuru (kulia) na PC Elisante Bura (kushoto), wakikagua moja ya magari yanayofanya safari zake mikoani. zoezi hili ambalo limefanyika  muda mfupi kabla ya magari  kuondoka katika kituo Kikuu cha mabasi Ubungo,jijini Dar es Salaam, ni moja ya hatua ya Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani kudhibiti ajali kuelekea kipindi cha mwisho wa mwaka,.
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Koplo Abdallah Bwasi akikagua moja ya magari  yanayofanya safari zake nje ya mkoa wa Dar es Salaam, muda mfupi kabla ya magari  kuondoka katika kituo Kikuu cha mabasi Ubungo,jijini Dar es Salaam. Hatua hii ya Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani imekuja kwa lengo la kudhibiti ajali kuelekea kipindi cha mwisho wa mwaka.
Mkuu wa Kitengo cha Elimu kwa Umma, Makao Makuu ya Trafiki, Dar es Salaam, ASP Abel Swai akitoa elimu ya usalama barabarani kwa abiria, muda mfupi kabla ya kuanza safari za mikoani katika kituo Kikuu cha mabasi Ubungo, jijini Dar es Salaam. Elimu hiyo inalenga kudhibiti ajali za barabarani kuelekea kipindi cha mwisho wa mwaka. (Picha zote na Abubakari Akida, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: POLISI WA USALAMA BARABARANI NAO WAANZA KUTEKELEZA DHANA YA "HAPA KAZI TU", WAFANYA UKAGUZI WA KITUO CHA MABASI YA MIKOANI UBUNGO
POLISI WA USALAMA BARABARANI NAO WAANZA KUTEKELEZA DHANA YA "HAPA KAZI TU", WAFANYA UKAGUZI WA KITUO CHA MABASI YA MIKOANI UBUNGO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi6x2jCkZr5kldEBywnd_51YD0qLGANOYMmQIbxE1Rgl8KXjz2PBhAsZED0DUSFPfYp2cA0fgwLiJrkuoS_qv4Crr-4k7iBXGG_nBglHFa7cxjbLkQLTBiik789yNLVugw2mAoJ7u1D2Qd9/s640/PIXX+2B1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi6x2jCkZr5kldEBywnd_51YD0qLGANOYMmQIbxE1Rgl8KXjz2PBhAsZED0DUSFPfYp2cA0fgwLiJrkuoS_qv4Crr-4k7iBXGG_nBglHFa7cxjbLkQLTBiik789yNLVugw2mAoJ7u1D2Qd9/s72-c/PIXX+2B1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/11/polisi-wa-usalama-barabarani-nao-waanza.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/polisi-wa-usalama-barabarani-nao-waanza.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy