WAZIRI WA FEDHA SAADA MKUYA SALUM AZINDUA BODI YA PPF NA MAFAO MAPYA YA MFUKO

  Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum, (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni moja, mwanachama ...







 Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum, (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni moja, mwanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Sara Haule ikiwa ni malipo ya fao la uzazi wakatinwa uzinduzi wa bodi mpya ya PPF, sanjari na uzinduzi wa fao hilo la uzazi, Jumanne Agosti 25, 2015.
 Waziri Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya uzinduzi
 Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, akitoa hotuba ya ukaribisho na utambulisho nwakati wa uzinduzi wa bodi mpya ya Mfuko, sambamba na uzinduzi wa Fao la Uzazi, ambapo
wanachama wawili wa Mfuko, Sara Haule na Caroline Kiswaga, walilipwa shilingi milioni 1 kila mmoja kama malipo ya fao hilo.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF, Ramadhan Kijjah, akitoa hotuba yake.
 Waziri Saada Mkuya Salum, Mwenyekiti wa Bodi ya PPF, Ramadhan Kijjah, na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo, William Erio, wakiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya PPF



 Sehemu ya Wakurugenzi wa Idara mbalimbali za PPF, na Mamenejawaliohudhuria hafla hiyo, 
 Mratibu wa Kanda za Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mbaruku akielezea namna fao hilo lilivyozingatia Mwanachama na Mwenza wake
 Baadhi ya wajumbe wa bodi ya wadhamini ya PPF
 Waziri Saada Mkuya akimpongeza Mwanachama wa PPF, Caroline Kiswaga, baada ya kumkabidhi shilingi milioni moja ikiwa ni malipo ya fao la uzazi
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa PPF, Ramadhan Kijjah (kushoto) akimkabidi kadi mpya ya uanachama wa Mfuko nhuo, Waziri wa Fedha, Saada Mkuya
SDalum, wakati wa uzinduzi wa bodi na fao la uzazi, hafla iliyofanyika makao makuu ya PPF jijini Dar es Salaam, Agosti 25, 2015.
 Waziri Saada Mkuya (kulia) akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF, 
 Waziri Mkuya akiteta jambo na Erio wakati wa hafla hiyo
Meneja Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,  Elihuruma
Ngowi (kulia) akifurahia jambo wakati waziri wa fedha Saada Mkuya Salum (kushoto) akimtania Mwanachama wa PPF, Sara Haule, baada ya kupatiwa malipo ya shilingi milioni moja kama fao la uzazi



(Khalfan Said Photojournalist K-VIS MEDIA P.Box 77807 Mobile; +255 646-453/+255-653-813-033 Blog:http//khalfansaid.blogspot.com Dar es Salaam, Tanzania)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI WA FEDHA SAADA MKUYA SALUM AZINDUA BODI YA PPF NA MAFAO MAPYA YA MFUKO
WAZIRI WA FEDHA SAADA MKUYA SALUM AZINDUA BODI YA PPF NA MAFAO MAPYA YA MFUKO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiixZZThcLkGzaUpSM3mOgTSC3mbLSeJ1tL8e9qxZgz02erHXU10-EXYOhmRiIAPav-WYrf4sjx5E6Pv7BOjGcPU6UA4jM1ot-LY420gSRdtdsqjc5cUUFqFYnQykW-x_fH3oKm_juAu4Y/s640/SAADA_CHEQUE.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiixZZThcLkGzaUpSM3mOgTSC3mbLSeJ1tL8e9qxZgz02erHXU10-EXYOhmRiIAPav-WYrf4sjx5E6Pv7BOjGcPU6UA4jM1ot-LY420gSRdtdsqjc5cUUFqFYnQykW-x_fH3oKm_juAu4Y/s72-c/SAADA_CHEQUE.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/08/waziri-wa-fedha-saada-mkuya-salum.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/08/waziri-wa-fedha-saada-mkuya-salum.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy